jana usiku walikaa caucus ya chama chao na kukubaliana kuwa sheria ya kodi ambayo wanaiwasilisha hawataeleweka kwa watanzania na hivyo wataendelea kuwapa credit cdm kwani walikuwa wanaenda kuongeza kodi kwenye maji ya kunywa kwa asilimia 17, kodi ya vat kwenye maziwa, kusamehe kodi ya vat kwenye bidhaa zote zinazotumiwa na makampuni ya madini nchini nk.
Hali ni mbaya sana ndani ya ccm hasa wakati huu wanapokua wanaelekea kwenye uchaguzi wa chama chao ,
Sasa hii ndio solution yako? Mbona na wewe unalalamika? Jadili hojaHatufiki kwa kuwa na watu kama wewe. Unaanzisha thread, unaonyesha problem basi hata kama huna solution omba wachangiaji wanaofuata wachangie kutoa solution. Badala ya kufanya unaanza kuelekeza malalamiko na thread nzima ijae malalamiko badala ya kujaa solution.
Sifa za kijinga, ndio maana kina mnyika wanapata viburi, wanatembelea sana JF.wakikuta topic kama hizi wanaziamini na kujiona miungu watu.............
Sioni uhusiano Kati ya kinachotokea bungeni na M4C. Achaneni kulazimisha agenda. Serekali inafanya kazi kwa utashi na umakini mkubwa. Mkipewa mtafanya nini wakati hata mkononi hamuenei
Sioni uhusiano Kati ya kinachotokea bungeni na M4C. Achaneni kulazimisha agenda. Serekali inafanya kazi kwa utashi na umakini mkubwa. Mkipewa mtafanya nini wakati hata mkononi hamuenei