Hebu jipange.Ndugu wananchi, kwa mara nyingine Serikali imeshindwa kudhihirisha uwepo wake bungeni na kusababisha kikao cha bunge kuahirishwa tena kwa dakika kumi.
Hii ni dalili ya kushindwa kwa Serikali yaani State Collapse. ILE DHANA YA DHAIFU IMEJIDHIHIRISHA...............
sijakuelewaNi baada ya kuona hotuba ya upinzani baada ya kuwasilishwa bungeni asubuhi na kuona jinsi hotuba ya upinzani yenye mapendekezo ambayo serikali haikuyazingatia kwa kiasi kikubwa hivyo spika aliamuru kuahirishwa bunge hadi jioni.
Sifa za kijinga, ndio maana kina mnyika wanapata viburi, wanatembelea sana JF.wakikuta topic kama hizi wanaziamini na kujiona miungu watu.
mod ondoa hii takataka
kama ni wehu, bac we ni mwehu wa kwanza. Yani unashindwa hata kulink vi2, umezoea 'spoon feeding', kama hawaogopi wangesoma bac, na wangesoma pia madai ya madaktari yakajadiliwa na wabunge!
pm hajalia leo?
Chama cha kikanda , Chama cha msimu,Chama cha wachache inakuwaje CCM inakimbia wanaogopa nini?