Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 147
- 242
Wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.
Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.
Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.