Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Bah.png

Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya vyakula na baadhi ya Wananchi wakidai gharama ya maisha ni kubwa.

Bah ‘Bah Our’ (65) amevitaka Vyama vya Wafanyakazi kusitisha mgomo huo na kuahidi kushirikiana ili kutatua changamoto kubwa zilizopo hatua kwa hatua.

Bah amekuwepo kwenye siasa za Guinea tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990, alihudumu kama Waziri wa maridhiano katika Serikali ya maridhiano iliyoanzishwa Mwaka 2007.

=============

Guinea junta appoints Mamadou Oury Bah as new prime minister

Former Guinean opposition leader Mamadou Oury Bah has been appointed prime minister by the country's military junta, a week after it abruptly dissolved the government.

His appointment comes amid growing dissatisfaction with the junta.

Two people were killed on Monday after police clashed with protesters during a nationwide workers' strike.

Trade unions have been demanding lower food prices as Guineans struggle with the high cost of living.

Mr Bah, popularly known in Guinea as Bah Oury, has urged the unions to call off the strike and "highlight what we can do together to solve the big challenges gradually, step by step".

The trained economist is expected to not only set up a new government to replace the one that was dismissed, but also take steps to alleviate the economic hardships facing millions of Guineans.

The swearing-in of the new prime minister was witnessed by interim President Mamady Doumbouya, who led Guinea's armed forces to overthrow elected President Alpha Condé in September 2021.

Mr Bah, 65, has been a popular fixture in Guinean politics since the early 1990s. He served as minister of reconciliation in a consensus government formed in 2007.

He spent four years in exile in France after he was implicated in a 2011 attack on President Condé's home, but returned home in 2016 after the president pardoned him.

Guinea is expected to hold elections to restore democratic rule in 10 months, when the 24-month transition period set by the junta and regional bloc Ecowas expires.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom