Waziri Mkuu wa DRC ajiuzulu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Rais Felix Tshisekedi ameridhia Barua ya Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde ikiwa ni Miaka Mitatu toka ateuliwe, hivyo kusababisha kuvunjwa kwa Serikali

Taarifa kutoka Ikulu ambayo haikuweka wazi sababu za Waziri huyo kujiuzulu imesema Rais ameagiza Serikali iliyovunjwa kuendelea na majukumu hadi pale Serikali mpya itakapoundwa

Lukonde aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Februari 2021, akichukua madaraka kutoka kwa Sylvestre Ilunga Ilunkamba, aliyejiuzulu baada ya Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani nae na Serikali yake

.........

The Prime Minister of the Democratic Republic of Congo Jean-Michel Sama Lukonde has resigned, he announced in a video shared on the presidency's social media platforms

late on Tuesday.

President Felix Tshisekedi accepted Mr Lukonde's resignation, the Reuters news agency reported, citing a statement from the president's office.

The statement added that President Tshisekedi had asked Mr Lukonde's government to continue with its duties until a new government is established.

In the DR Congo, the government is headed by the prime minister.

Mr Lukonde will now take up legislative duties, after he was voted to parliament in DR Congo's general elections last December.

Mr Lukonde had been appointed prime minister in 2021, succeeding ex-PM Sylvestre Ilunga Ilunkamba, who resigned after legislators passed a vote of no confidence against him and his government.

Source: BBC, REUTERS
 
Jean Pierre Bemba Gombo anajiandaa kuchukua wadhifa huo,

kwasasa ni waziri wa ulinzi,
baada ya kusota jela kwa zaidi ya miaka 10 katika sero za ICC huko Hague, akikabiliwa na makosa ya uhalifu wa kivita, madhila yaliotoke kabla ya 2008 akiwa miongoni mwa Makamu wa Rais wa wakati huo DRC 🐒
 
Ila hil jamaa si ni mojawapo ya ma tycoon wa uhalifu, ilikuaje akaaminiwa kupewa post nyeti katika serikal ya Felix
 
angeachwa nje ya serikali angesumbua sana, halafu ni wale watu wenye nyota ya kupendwa na watu bila sababu 🐒

Alipotoka Hague alipata mapokezi ya nguvu sana DRC, kumbuka alikamatwa 2008 akiwa madarakani kama makamu wa Rais, tena alikamatwa akiwa njiani nje ya nchi safari ya kikazi 🐒

Ni kiongozi wa upinzani lakini pia alikua kiongozi wa waasi ambae alihusika uhalifu wa kivita DRC na Central Africa. Rais Felix Tshekedi anaamin huyu ndie mtu sahihi kudeal na hayo makundi ya waasi kwasabb anaweza kua anayafahamu vizuri ndio maana akapewa dhama ya ulinzi 🐒

Hata hivyo,
kwa hali ya kisiasa ilivyo DRC, Rais Felix Tshekedi anaamin huyu ndugu Jean Pierre Bemba ndie mtu sahihi wa kurithi mikoba yake atakapo maliza ngwe za uongozi wake miaka kadhaa ijayo, ili aishi kwa amani akiwa amestaafu 🐒
 
Imekaa vizuri. Kwel bwana, mchawi mpe mwanao amlee.
Hata tulipokuaga shule, mwalimu alikua anachagua mwanafunzi mkorofi awe kiraja au mtoro awe monitor. Ni a wise way to monitor and controll them
 
Back
Top Bottom