Serikali ya CCM acheni utoto; wapinzani wanavumilia kuwabeba mgongoni kwa taabu, mnawakojolea halafu mnataka mlie nyie badala ya yule mliemkojolea?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Nashangaa sana serikali hii ya CCM. Hakuna mu mwenye akili timamu asiyejua au kuona kuwa toka utawala wa awamu ya tano uanze mmekuwa mwiba mchungu sana kwa vyama vya upinzani nchini. Mmewabana kwa kila namna mnayoweza kufikiria. Mmewafunga midomo ndani na nje ya Bunge, mmewanyima haki katika chaguzi za kisiasa, mmewafunga gerezani, mmewaandama na kesi zisizo na tija, na hata mmeshutumiwa kuwanunua viongozi wao kwa rushwa na wanaowakosoa kuwaua, kuwateka au kujaribu kuwaua.

Kwa ujumla mmewanyima uhuru wa kufanya kazi zao kama wanasiasa na hata kuwanyang'anya haki yao ya kisiasa ya kuongea na wananchi kwa uhuru. Mbaya zaidi mnawazuia hata uhuru wa kuwa wananchi wa Tanzania wanaojighulisha na mambo mengine kutia shughuli za kibiashara - mpinzani hawezi kuwa mfanya biashara huru bila vikwazo hapa nchini!

Sasa wapinzani wakiwa desparate kuanza kutumia njia kama kuwalalamikia World Bank ili kukabiliana na ukandamizaji wenu kwa nini mnawalaumu kuwa wanafanya uhaini? Kwani wanachosema huko World Bank na kwingineko ni uongo? Yaani nyie mnataka kuwakandamiza, lakini ili waonekane kuwa wazalendo wasiende nje kulalamika jinsi mnavyowakandamiza kwa kuwa kufanya hivyo sio uzalendo?

Amini nawaambieni, wapinzani wanastahili kuwashitaki sio World Bank tu, bali hata Umoja wa Mataifa, Mahakama ya Kimataifa na hata kwa mataifa makubwa yote mnayoyategemea kwa misaada. Mambo mnayowafanyia yanatia aibu hata watu kuwasikia mkijitaja kuwa nyie ni viongozi wa Taifa katika nchi mnayodai ni ya kidemokrasia na mnafuata haki za binadamu.

Mambo mnayofanyia wapinzani nchini katika nchi nchingine yangesababisha hata vita ya wenyewe kwa wenyewe au uharamia wa ndani (internal terrorism) dhidi ya chama chenu na mali zake. Ni wazi kwamba wapinzani wa Tanzania ni wastaarabu na wavumilivu sana. Ninaamini kwa dhati hata Nyerere angekuwa hai leo hii angewakana kwa dhati na kutamka waziwazi hawajui na wala hana sehemu yeyote na nyie. Madokezo juu ya ukandamizaji wenu yanayotolewa na viongozi wa enzi za Nyerere, ambao mara nyingi mnawakosea heshima na staha, yako wazi sana juu ya hilo.

Mnachofanya ni sawa na mtoto mdogo mzito ambaye amebebwa mgongoni kisha anamkojolea aliyembeba, na aliyembeba akitaka kumshusha amsafishe na kumbadili nguo anaanza kulia ng'eeeeh!

Uongozi wa CCM mnapaswa kujitafakari sana.
 
umeandika kwa feelings kali sana.
ndiyo ukweli wenyewe.
 
Nchi hii hakuna wapinzani ,kuna wachumia tumbo ukiwemo na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kilio hapo chini kimenichekesha😃😃😃
 
Back
Top Bottom