Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Zibaki hapo hapo,

Mungu ana umuhimu ktk maisha yetu,

Wazazi hawana muda wa kukaa na watoto, huko mashuleni nahisi ni muhimu wakafundishwa.
Mfundishiwe katika makanisa na misikiti yenu
 
Mfundishiwe katika makanisa na misikiti yenu
Usitupangie.

Tangu watoto walivyoacha kufundishwa mashuleni, wahuni wamepenyeza USHOGA unafundishwa mashuleni,

Tunakuja mashuleni kuwaambia NDOA ni Rasmi, kati ya mume na mke pekee.

Amen
 
Usitupangie.

Tangu watoto walivyoacha kufundishwa mashuleni, wahuni wamepenyeza USHOGA unafundishwa mashuleni,

Tunakuja mashuleni kuwaambia NDOA ni Rasmi, kati ya mume na mke pekee.

Amen
Majitu majinga kama ww huwa mengi sana nani kasema huko kanisani hamuwez kutoa hiyo elimu
 
Bado haujajibu. Nini madhara ya kufundishwaa dini shuleni?
Dini haina RESEARCH METHODOLOGY, Iman haina kipimo cha uhakikaal, DINI is opium of the people...DINI INATENGENEZA UTUMWA, inaleta ubaguzi..katiba haitambui dini km mhimili unaojitosheleza...dini NI ubunifu wenye tija hana. Hivi kundi lililokaaa kupitisha combination za dini sijuh Sura zao zinafananaje, sishangai kukuta wote NI wanawake walipisha...sibora na VIKOBA ingepewa combination na kubet...
 

Attachments

  • FB_IMG_1711083082926.jpg
    FB_IMG_1711083082926.jpg
    53.8 KB · Views: 1
Hapo ndio wamefanya vyema zaidi na kukua kimitaala.
Hatuwezi kurudi nyuma tukaacha dini badala tukaongozwa na kandanda.
Tutakuwa sisi na mashetani na wanayama hatuna tofauti.
Wakatoliki waliliona hili zamani sana.Baada ya lile la Udom kufeli wakajua kuwa watoto wa mama wa kambo watakuja na mbinu mpya ya kufaulisha vilaza wao.Wakaamua kuanzisha shule kila parokia na chuo kikuu kila jimbo.Mnakuja kutengeneza mazombi.
 
Waislam wanafundishwa kwamba wakristo ni makafiri na bado mnataka hao wanafunzi wakimaliza religion session wakae pamoja hivi mnaona hapo kutakuwa na amani tena.vilevile dini sasa ivi imeleta mitume feki na manabii feki mfano mzur ni kenya ambapo dini zimegeuka biashara na mtu akijiingiza kwenye izo imani kali za namna iyo ni ngumu kuwa sawa kiakili,nnamfano hai wa mama angu mdogo aliyeamua kuacha kufanya kazi ili amtumikie mungu.Na katikati ya dini zitajitokeza nchi chonganishi hamtoa amini vita kama za pakistan na iraq zitaanzia hapo.It is better watu wajifunze dini makanisani kwao na misikitin
 
Back
Top Bottom