Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 435
- 545
Acha dhambi fanya tobaHabari wadau..!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.
Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na mtazamo tofauti naona kama ss S/kali imeanza kuongozwa kidini wakati serikali yetu inajitanabaisha kwamba haina dini,nadhani huku ni kuingilia uhuru wa watu kitu ambacho si kizuri .