Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.

Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na mtazamo tofauti naona kama ss S/kali imeanza kuongozwa kidini wakati serikali yetu inajitanabaisha kwamba haina dini,nadhani huku ni kuingilia uhuru wa watu kitu ambacho si kizuri.

Hapa nadhani serikali ilipaswa kutunga sera za kuzi-monitor hizi website na wala sio kuzuia kabisa maana itaenda kuathiri sekta ya mawasilaino sababu matumizi ya bundle za internet yatapungua hivyo inaweza ikawa pigo lingine kwa makampuni ya simu ,yaani bora wangeweka Tozo kuliko kuzuia kabisa.

Sasa tutarajie kuibuka tena kwa vibanda umiza vya XXX kama zama zile za 1990's na kuibuka kwa soko la ndani la waigizaji wa hizi sinema maana demand itakuwa kubwa sana nchini.
 
Serikali inaendekeza NGONO na kujali mambo ya kipuuzi kuliko vitu vya msingi.

Kuna Mambo mengi sana ya kufanya kuliko huo upumbavu.

Hamna walichofanya hapo labda kama uwe huna akili ya uchambuzi na maarifa hapo sawa.

Serikali inatakiwa kufanya mambo ya msingi na sio huo ujinga.
 
Back
Top Bottom