Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Umeshasomwa tayari, na sisi kwenye parokia yetu tumeungana na TEC na wale wote wenye mapenzi mema kuupinga mkataba
 
Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.
 
Serikali yetu ni makini sana na iko hata huko kanisani. Hao wapumbavu hawajaanza leo na hawajawahi kufanikiwa. Kila rais akiwa muislamu hizo ndio zao. Ni mashetani tu waliojivika ngozi za kondoo.
 
Unateseka ukiwa wapi? It is too late to fight the Church of God.
MUNGU siyo mzinzi km hao viongozi wa kqnisa lako. Kqnisa ndiolimeshachelewa mkataba umeshapitishwa na bunge kwa niaba ya wananchi. Bunge ndii sauti ya Mungu maana linawakilisha watanzania wote siyo hilo kundi la wachumi tumbo hata kwa kumwaga damu za binadamu wenzao
 
Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Wakivuka mpaka watafuatwa huko na majoho yai joho ni vazi linaweza kuvaliwa hata na jambazi.
 
Kama ulikua unasubiria hiyo siku ifike ngoja nikuambie tuu kwamba hata kitukuu chako kitazeeka na kitakufa bila kuona upuuzi kama huo
 
Je kanisa linaweza kuishinda serikali?

Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.

Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.

JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea

Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.

Unabisha?
Hata wanasheria wa serikali walikutana na maaskofu baada ya kuwa wameshamalizana na wabunge kule Dodoma.

Kanisa katoliki ni sehemu ya taasisi muhimu za nchi hii lakini bunge ndio kila kitu na likishapitisha suala basi biashara imeisha.

Walichofanya leo huko makanisani ni kujiosha mbele ya waumini au kwa lugha nyingine wamenawa mikono kama Yesu alivyowafundisha wale mitume wake kwamba mkiingia kwenye mji na wakawakataa basi nyinyi panguseni viatu vyenu na muondoke.
 
Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Tulia wewe chawa 🤣 mwaka huu lazma mteme bungo. Hatuwezi kuendelea kuvumilia mambo ya hovyo
 
Shida nadhani ilianza walipotamani kusikia tamko lake yeye alijibu kua ameziba masikio. Nahisi hizi ni jitihada za kumzibua masikio
Hahahahahah mpaka sasa ameshazibuka masikio. Dharau na kibri havijawahi kumuacha binadamu salama.🤣
 
Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Roman Kathoric ni sehemu tu ya Ukristo na Wakristo.

Unaonaje kama tungeanza kuwatazama jicho la ukosefu SHURA YA MAIMAMU TANZANIA ?

Maana wao ndio walioanza kutoa tamko.

Au mapendekezo ya SHURA yamekubaliwa?
 
Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.
Anapendwa na watu wengi? Hebu leta facts miongoni mwa 60M population hao wengi ni sawa na asilimia ngapi humo humo?
 
Tayari adi Dr Tulia nae kapewa nakala yake
1692521756774.jpg
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?

Wale mashekhe wa mwanza na kwingineko walivyounga mkono ulikuja na huu ushauri? Kwani kanisa ni mali ya serikali? Endeleeni na kampeni zenu za kuunadi mkataba wacha sisi tupewe muongozo madhabahuni alafu itafahamika!
 
Waraka utakuwa umesomwa Kwa lugha za asili pia,

Kuna vigango huko vijijini wanaosali Kwa lugha za asili nao Leo wamejua dude la mkataba fake.

Ilipo CCCm lipo Kanisa katoliki, ni hatari ndugu Hawa wa Damu kutofautiana.
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Fisi maji
 
Maaskofu hawawezi kuwa sehemu ya majizi na wahuni. Wenyewe kweli ni kweli, black or white take it or leave it
Mungu ibariki TEC, Mungu mbariki Dr. Kitima
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Tayari ulishasomwa,,sasa hivi hatupati shida tena kuwaelimisha ndugu zetu waliopo vijijini ambao hawa access ya internet
 
Back
Top Bottom