Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh mbavu zangu jamani,jamaa katoka mkuku
Hayo ndio yaliyobakia vichwani mwenu....namaanisha utafutaji wa pointi zitakazo wapa uhalali wa kuandika chochote kile hata kama kimejaa upuuzi ndani yake. Msomi wa hadhi ya PHD tena ya chemistry huwezi kumlinganisha na yule msanii ambaye alitumia nguvu nyingi sana magazetini lakini akakuta CCM ni chama chenye mizizi, akagonga mwamba.
 
Hivi mkalimani hakuwa na taarifa au?husichoke kujibu maana ndio utaonekana ili upate kazi ya udc
 
Maombi yenye nguvu huwa ni ya kufunga, sasa utamuombeaje mtu kwa kufunga wakati yeye anakula kuku mezani halafu anashushia na wine wakati wewe hata uji wa kufungulia swaumu hauna uhakika wa kuupata??
 
Hivi mkalimani hakuwa na taarifa au?husichoke kujibu maana ndio utaonekana ili upate kazi ya udc
Maswali yako ya kipuuzi hayawezi kunichosha, wewe unaye rais wa moyo wako yaani yule wa kwenye feacebook na twitter, mimi namuamini yule wa Ikulu, ambaye amempa nafasi Waziri Mahiga aongee na mabalozi. Lugha sio issue kwa rais Magufuli, tuliompigia kura tuliangalia mbali zaidi ya masuala ya kidiplomasia, huyu sio muuza sura ni mchapakazi. Sihitaji kazi ya UDC, CCM ni chama makini kuliko huo chama chochote Tanzania na nadhani na Afrika pia. CCM ni chama chenye hazina ya vichwa vyenye uwezo na uzoefu katika kila sekta. Mahiga kapewa kazi ya kuongea na mabalozi na wapo kina Mahiga wengi tu ndani ya CCM. Nyinyi UKAWA mnapiga makelele humu JF, lakini Mr Zero Sumaye ni mtu muhimu kwenu!.
 
Bado hujanisoma vema,nimesema hivi jitahidi kujibu kila post kwa umakini na hiyo itapelekea lumumba wakuone ili upate kibarua cha udc
 
Maombi yenye nguvu huwa ni ya kufunga, sasa utamuombeaje mtu kwa kufunga wakati yeye anakula kuku mezani halafu anashushia na wine wakati wewe hata uji wa kufungulia swaumu hauna uhakika wa kuupata??
Hao ndio viongozi wetu wa chama cha magamba
 
Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtapata na bisheni nanyi mtafunguliwa! Au huwa hawasomi maandiko?? Ebu wafuate hiyo verse! Hata hivyo maandiko yanawaambia; msiogope mana mi Niko pamoja nanyi! Haina haja ya kuomba kuombewa wenyewe wkaze tuu
 
Inawezekana kuna jambo baya waliwatendea watanzania hivyo wanatafuta huruma yao hueezi juwa wakubwa hao
 
Inawezekana kuna jambo baya waliwatendea watanzania hivyo wanatafuta huruma yao hueezi juwa wakubwa hao
Wakatubu kimya kimya siye hayatuhusu! Hayo ya maombi na ulinzi wa mungu ni maswala binafsi lakini nashangaa yanakuwa miongoni mwa hotuba! Wanamaliza ream na wino wa kuprint tuu wakati tunabana matumizi!
 
Umeonaeeeeee?
 
....kuna mambo waliyofanya sivyo hadi waombewe kila wakati??...btw...serikali ya TZ huwa haina dini....sasa najiuliza kuomba kuombewa kila mara wana hofu gani??...wakati dola wameshika wao inakuwaje wanaomba nguvu ya asiyeonekana kuwalinda??.....Kwa kawaida kwa mataifa yenye watawala wanaomjali Mungu(kama USA) huwa wanasema God Bless America etc etc na si wao kuombewa individually....hili la watawala wa TZ lina walakini.....
 
Waifutilie mbali PPRA kutokana na ukosefu wao wa UZALENDO, kitengo hicho kisitumiwe na wafanya biashara wa malori ya kubebea mizigo kipiga vita ujenzi wa reli ya kati?? Wanakuja na horror stories za kutunga tu - mbona katika utawala wa JK hatukuwai kusikia ngonjera za namna hiyo - kumetokea nini hapa katikati, yaani Taifa suddenly tunajifanya hivi sasa reli haina umuhimu wowote!!!

Kuna wakati fulani Mh.Kinana na wengine waliwahi kuwa sceptical na kitengo hiki cha manunuzi ya UMMA, kama Dk.Magufuli anataka kufanikiwa katika malengo yake kwenye sekta nyeti, basi kuna ulazima wa kukifutilia mbali kitengo hiki au kukifanyia reform ya haraka sana - linapo kuja suala nyeti kama ujenzi wa reli watu hawa wasishirikishwe kabisa.

Dk.Magufuli azungumze na Serikali ya China moja kwa moja waone watatusaidia vipi, binafsi nina imani na Wachina kuliko Mataifa ya magharibi, hata Kenya kuna waswahili/viongozi walikuwa wanawapiga vita Wachina wasijenge reli, walikuwa wanatoa visingizio kama vya PPRA lakini Kenyatta aliwapuuzia ndio maana reli inajengwa kwa kasi ya kutisha - ujenzi wa reli ya kati una umuhimu wa pekee Nchini - Dk.Magufuli husikubali watu wenye ajenda zao kukwamisha ujenzi wa reli kwa kutoa visingizio vya kutunga,kila siku wana move/shift goal posts - na mchezo huu umekuwa more pronouced kwenye utawala wako - WHY?

Dk.Magufuli amuombe ushauri Rais Kenyatta au Raila watampa mbinu walizotumia kupata msaada wa Serikali ya China - our lifeline ya kutuwezesha kujenga reli ya kati itapatikana Uchina si pengine - tuwe wakweli hapa, yaani tunashindwa Nchini za Africa magharibi zinazo jenga reli kwa msaada/wataalamu wa China - mfano Nigeria na Cameroon/B.Faso kama sikosei - sisi tuna matatizo gani lakini? We don't seem 2 get our priorities right!!
 
Back
Top Bottom