Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Waifutilie mbali PPRA kutokana na ukosefu wao wa UZALENDO, kitengo hicho kisitumiwe na wafanya biashara wa malori ya kubebea mizigo kipiga vita ujenzi wa reli ya kati?? Wanakuja na horror stories za kutunga tu - mbona katika utawala wa JK hatukuwai kusikia ngonjera za namna hiyo - kumetokea nini hapa katikati, yaani Taifa suddenly tunajifanya hivi sasa reli haina umuhimu wowote!!!

Kuna wakati fulani Mh.Kinana na wengine waliwahi kuwa sceptical na kitengo hiki cha manunuzi ya UMMA, kama Dk.Magufuli anataka kufanikiwa katika malengo yake kwenye sekta nyeti, basi kuna ulazima wa kukifutilia mbali kitengo hiki au kukifanyia reform ya haraka sana - linapo kuja suala nyeti kama ujenzi wa reli watu hawa wasishirikishwe kabisa.

Dk.Magufuli azungumze na Serikali ya China moja kwa moja waone watatusaidia vipi, binafsi nina imani na Wachina kuliko Mataifa ya magharibi, hata Kenya kuna waswahili/viongozi walikuwa wanawapiga vita Wachina wasijenge reli, walikuwa wanatoa visingizio kama vya PPRA lakini Kenyatta aliwapuuzia ndio maana reli inajengwa kwa kasi ya kutisha - ujenzi wa reli ya kati una umuhimu wa pekee Nchini - Dk.Magufuli husikubali watu wenye ajenda zao kukwamisha ujenzi wa reli kwa kutoa visingizio vya kutunga,kila siku wana move/shift goal posts - na mchezo huu umekuwa more pronouced kwenye utawala wako - WHY?

Dk.Magufuli amuombe ushauri Rais Kenyatta au Raila watampa mbinu walizotumia kupata msaada wa Serikali ya China - our lifeline ya kutuwezesha kujenga reli ya kati itapatikana Uchina si pengine - tuwe wakweli hapa, yaani tunashindwa Nchini za Africa magharibi zinazo jenga reli kwa msaada/wataalamu wa China - mfano Nigeria na Cameroon/B.Faso kama sikosei - sisi tuna matatizo gani lakini? We don't seem 2 get our priorities right!!
Magufuli alishawahi kuyakataa malori kwa vile yanaharibu barabara , sasa kama alimaanisha kweli ni wakati wa kuifufua reli .
 
Miradi yenye faida kwa vizazi vijavyo kama reli ccm hawaitaki tena. Wanataka miradi ya muda mfupi kama BRT waifainyie ufisadi na kuitumia kwenye kampeni. Hata barabara nyingi ni chini ya viwango.
 
Vita rais anayopigana si rahisi. Kuna mijitu inaloga,inaua,inafitina,inapesa nyingi,inauza unga,inamifumo ndani na nje ya ufisadi,inamifumo yakijangili,inamifumo ya kutorosha madini nk.
Mapambano haya lazima wakuu wamweke Mungu mbele na sio wao tuu na sisi tunaohujumiwa pia muhimu tuiombee nchi na viongozi wanaoipigania.
Kama mtu anaona kusali nchi itengamae ni shida basi ungana na majambazi kuwanga wasishikwe
 
Hawa watu ni waadilifu tuwaombee maana wanakutana na mambo magumu wanahitaji maombi ili wasonge mbele na utaratibu wa maombi ni wa kawaida tu wa wacha Mungu
Watu watawaombea wakiona kunauhitaji wa kufanya hivyo. Tatizo imekuwa wimbo jambo kidogo utasikia niombeen. Hivi swala la Zanzibar, watu wasiokuwa na makazi kutokana na bomoa bomoa, wagonjwa, watu wanakufa njaa dodoma.... tuache kuwaombea hao tuhangaike na viongozi wa serikali. Mwisho wa siku utamsikia Nape nae anaomba tumuombeee......! Nyambafu
 
Sasa umekuwa ni wimbo wa kawaida kila anapo hutubia wananchi utasikia anasema naomba watanzania mniombee,tukuombee kitu gani?kuchukua form ya uongozi wa nchi ulichukua mwenyewe ukachaguliwa sasa unacho ogopa na kuomba watanzania wakuombee ni nini?tunacho weza kukuomba ni kupiga kazi yavkutumbua majipu yoote
Kazi ya kutumbua majipu si lelemama,yajitaji baraka za mungu
 
Magufuli alishawahi kuyakataa malori kwa vile yanaharibu barabara , sasa kama alimaanisha kweli ni wakati wa kuifufua reli .

Mkuu sikutaka kusema mengi, lakini kama unakumbuka vizuri wafanya biashara hawa walimdhilisha sana kutokana na Uzalendo wake wa kutetea Taifa letu, alisemwa kweli kweli kwenye vyombo vya habari na Serikali ilikaa kimya baadae kabisa Waziri mkuu akaonekana ana side wa Wafanya biashara, hata kama kulikuwa na tatizo kwa nini husimtetee kiongozi mwenzako mengine mkayamaliza kimya kimya - we sema Mzalendo Magufuli ni binadamu mvumilivu sana.

Sina shaka Dk.Magufuli akikumbuka sakata hilo, atajua kwamba ujenzi wa reli ya kati utahitaji yeye kusimamia kwa kushirikiana na Wachina, bila ya kutumia mbinu hizo reli hii haitajengwa kamwe.
 
Mimi nafasi niliyo nayo kwa sasa ni ya kuombea marehemu full stop! Hawa labda wajaribu kwa jirani!
 
Lowassa alivyoenda kanisani na kuwaomba waumini wamuombee ashinde uraisi hukuliona hilo, serikali ikiwaomba watu wake waiombee unashangaa....SMFH!!!
 
Amri kuu aliyotuachia Mungu ni UPENDO
Watu watawaombea wakiona kunauhitaji wa kufanya hivyo. Tatizo imekuwa wimbo jambo kidogo utasikia niombeen. Hivi swala la Zanzibar, watu wasiokuwa na makazi kutokana na bomoa bomoa, wagonjwa, watu wanakufa njaa dodoma.... tuache kuwaombea hao tuhangaike na viongozi wa serikali. Mwisho wa siku utamsikia Nape nae anaomba tumuombeee......! Nyambafu
 
Naona umesahau kiota chako cha kutagia.....
Njoo nitagie....
Lowasa kaingiaje hapo
Mkuu hao ndio viwavi wa lumumba, ukigusa mapunguvu ya uongozi wao tu unashambuliwa kama msaliti
 
Hii ni nchi ya vyama vingi, mawazo yako sio lazima yafanane na yangu, ndio uhuru wenyewe wa habari.
Hii aibu mtakuja kujuta na ubabe wenu wa kiutawala
1455009659422.jpg
 
Lowassa alivyoenda kanisani na kuwaomba waumini wamuombee ashinde uraisi hukuliona hilo, serikali ikiwaomba watu wake waiombee unashangaa....SMFH!!!
Loawasa alienda kanisani ambako alijua kuna watu wake,sasa hii ngonjera mnayotoa kila siku mkiwa ikulu mali ya watanzania wote eti mtuombeeee?muombewe mna majini?
 
Kama wakazi wa kigamboni hamna Nauri ya Sh 500 PIGENI MBIZI,By John Pombe Magufuri.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom