Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Hawa watu ni waadilifu tuwaombee maana wanakutana na mambo magumu wanahitaji maombi ili wasonge mbele na utaratibu wa maombi ni wa kawaida tu wa wacha Mungu
JK pia alikuwa changuo la Mungu licha ya kuombewa,angalia alivyotufanyia ESCROW,TWIGA HAI,UDA licha ya kuwa changuo la Mungu.
 
Kuwaombea ni muhimu mkuu ,Yale makwepa kodi ya Lowasa yana jeuri ya fedha ,huenda yakawadhuru viongozi wetu
Nivizuri akaitwa mchungaji kakobe au gwajima kufanya kazi hiyo maana sisi malofa tuna kazi nyingi za kutafuta ridhiki yetu ya kila siku
 
Hebu acha kuwa na Flight of ideas hapa tunamzungumzia Serikali ya Dr. John Pombe Magufuli nafikiri kimoyo moyo unaikubali kazi yake
JK pia alikuwa changuo la Mungu licha ya kuombewa,angalia alivyotufanyia ESCROW,TWIGA HAI,UDA licha ya kuwa changuo la Mungu.
 
UKAWA mnatafuta kick kwa mambo madogo madogo ya kijinga, huyo Mahiga ndio mwenye shughuli yake, ndio maana kapewa nafasi hiyo, ni diplomat wa kimataifa. Na najua mtaona mengi ambayo kwa akili zenu yatakuwa mageni, lakini hii ndio awamu ya tano.
Unataka kutwambia waziri wa mambo ya nchi za nje hana ofisi hadi huo mkutano/kikao kifanyike ikulu?
 
UKAWA mnatafuta kick kwa mambo madogo madogo ya kijinga, huyo Mahiga ndio mwenye shughuli yake, ndio maana kapewa nafasi hiyo, ni diplomat wa kimataifa. Na najua mtaona mengi ambayo kwa akili zenu yatakuwa mageni, lakini hii ndio awamu ya tano.
Naona tangu jk ametoa ombi kwa jpm kuwapatia kibarua ndio mnazidisha speed,kwani siku zote hamkuwa mnaishi?
 
Naona yule mkalimani kapatwa na udhuru
Hizo ndizo akili za bosi wenu, kila kitu anaona anaonewa. Msomi wa ngazi ya PHD hawezi kushindwa kuongea kiingereza. Yule wa kwenu aliyesomea usanii mpaka chuo kikuu hawezi kumzidi mkemia wetu mwenye shahada ya uzamivu.
 
Kuna ubaya gani wakiombewa? Wewe kama hutaki kuwaombea si ukae kimya utuachie kazi ya kuwaombea?
 
Hizo ndizo akili za bosi wenu, kila kitu anaona anaonewa. Msomi wa ngazi ya PHD hawezi kushindwa kuongea kiingereza. Yule wa kwenu aliyesomea usanii mpaka chuo kikuu hawezi kumzidi mkemia wetu mwenye shahada ya uzamivu.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh mbavu zangu jamani,jamaa katoka mkuku
 
kama wanataka malipo tugawane mishahara pia sio sie tukeshee maombi wao wakeshe kwenye dili mana tushastuka wanatumbua chunusi usoni pa watoto huku wakiwacha majipu migongoni pa wazee
 
kwani wao hawezi kuomba hadi tuwaombee sisi! basi watubu dhambi zao zote na kisha waje kwa maombi
 
Back
Top Bottom