Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

1. Mkuu, ni mungu gani huyo wanayemtanguliza!? Maana miungu wengi... Hata Diego Maradona pia ni mungu...

Kama ni huyu Yehova, je ni kweli ana-support
Wizi kama ule wa kura?
Uonevu kama ule wa ZNZ?
Uongo na ulaghai kwenye chaguzi za Dar!?
Hata Hivi naona wanalitaja Bure jina la mungu...

2. Sidhani kama ni busara kutumia mgongo wa Mungu kuficha mapungufu binafsi... Matter of fact, huhitaji taifa zima likuombee ili usimamie haki..

Ndugu yangu umeongea point ilikupata toba lazima ujikane mwenyewe wameumiza sana nafsi za raia waliougulia machungu mioyoni mwao kwa kuibiwa kura zao mpaka leo hii wameacha majeraha makubwa mioyoni mwao. Halika watubu kwanza ndipo tuanze kuwaombea.
 
Washindwe kusema shein akubali kushindwa zanzibar
Wao wanataka kuombewa cjui nn.Wanadhulumu matokeo ya uchaguzi wanataka kuombewa.Nimewaombea waache thuluma Basi wote waseme Amen
 
Yaan unadhulumu watu kwa nguvu unakataa kula na wageni nyumbani kwako yaan mabalozi alafu unataka kuombewa Mungu gani atakaye kubali hayo maombi
 
unaanzisha thread unacomment mwenyewe, mbona lowasa alisema tumuombee hukuanzisha thread?????
Lowassa aliyashindwa maswali mepesi ya Zuhra Yunus akabakia kusema unanionea. Mara mia moja hawa wanaosema mtuombee wakati tutakapokuwa tukiyatumbua majipu, kuliko yule ambaye anataka urais lakini hata interview ndogo tu inamshinda.
 
Huyo huyo unaye msifia leo kawakimbia mabalozi ikulu,sijui mkalimani hakuwepo au vipi?mkuu ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo kamwe husianzishe vita ya kurushiana mawe
 
Mimi siwaombei hata kidogo kwa Mungu,kwani nyinyi hamtaki kutenda haki,Sethi wa ESROW hana tatizo kwenu mwalimu anayeomba hongo ya kuku kwenu ndo fisadi.Jecha na Shein wanaokatalia madarakani hawana matatizo kwenu.Mkamateni SHEIN,JECHA na SETHI wa ESCROW niwaombee kwa Mungu wangu wa HAKI.
 
Mkuu hawa walidhani kuongoza nchi ni rahisi kama vile kuchezea kura kwenye visanduku! huoni jinsi walivyoanza na spidi ya kukurupuka! Sasa mwisho wa mwezi umefika ndio wanakumbuka ya kwamba wafanyakazi wa Umma hawajalipwa mishahara, waliahidi elimu bure , waliahidi afya bora n, k.
Roho zinawauma sana jpm anavyopiga kazi he,zitawauma sana mlitegemea achemke mshangilie siyo imekula kwenu mazima
 
Huyo huyo unaye msifia leo kawakimbia mabalozi ikulu,sijui mkalimani hakuwepo au vipi?mkuu ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo kamwe husianzishe vita ya kurushiana mawe
UKAWA mnatafuta kick kwa mambo madogo madogo ya kijinga, huyo Mahiga ndio mwenye shughuli yake, ndio maana kapewa nafasi hiyo, ni diplomat wa kimataifa. Na najua mtaona mengi ambayo kwa akili zenu yatakuwa mageni, lakini hii ndio awamu ya tano.
 
Sasa umekuwa ni wimbo wa kawaida kila anapo hutubia wananchi utasikia anasema naomba watanzania mniombee,tukuombee kitu gani?kuchukua form ya uongozi wa nchi ulichukua mwenyewe ukachaguliwa sasa unacho ogopa na kuomba watanzania wakuombee ni nini?tunacho weza kukuomba ni kupiga kazi yavkutumbua majipu yoote
Wanataka waombewe kwa mungu wasamehewe kwa kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2016 .
 
UKAWA mnatafuta kick kwa mambo madogo madogo ya kijinga, huyo Mahiga ndio mwenye shughuli yake, ndio maana kapewa nafasi hiyo, ni diplomat wa kimataifa. Na najua mtaona mengi ambayo kwa akili zenu yatakuwa mageni, lakini hii ndio awamu ya tano.
Kama mwenye party ni Waziri wa mambo ya nje kwa nini wakafanyie huko ikulu?
 
Kuwaombea ni muhimu mkuu ,Yale makwepa kodi ya Lowasa yana jeuri ya fedha ,huenda yakawadhuru viongozi wetu
Lowasa ndiyo anamiliki IPTL? Lowasa ndiyo alikula pesa za Escrow, mabehewa mabovu na kivuko feki? Lowasa ndiyo ameuza nyumba za Serikali?pesa za NIDA billion 176 zimeliwa na Lowasa?
 
Kwa nini fisadi Lowasa anajitokeza hadharani kutetea wakwepa kodi??
Amtetee kivipi? Tokea lini Lowasa akawa Fisadi? Mbona unakariri Akili za Mwigulu na Nape? Tambua kuwa Mmiliki wa Richmond ni Kikwete Kama ni Ufisadi upo huko,
 
Back
Top Bottom