Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Hivi kina Magu wameanza lini huo uchaMungu? Baada ya kuukwaa urais? Hebu watu mnaomfaham mtutanabaishe kabla ya hii post alikuwa anaishije? Isije ikawa hawa jamaa wanatuona sisi ni mazombie. Kila diku tuombeeni tuombeeni. Hawajiamini?
QUOTE="wambagusta, post: 15298074, member: 261652"]Majungu tu[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom