Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,036
Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dk Charles Mahera ameeleza kwenye kikao kazi cha wadau kujadili rasimu ya mtaala wa astashahada ya radiolojia

Vifaa tiba vingine vilivyosambazwa ni pamoja na X-ray zinazohamishika 108 ambazo zitatoa huduma kwenye majengo ya dharura yaliyojengwa kwenye halmashauri 80 nchini na majengo 28 ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).

Aidha, alisema katika mwaka wa fedha 2022 / 23, Tamisemi ilifanya upembuzi yakinifu na kujiridhisha kuwa kufikia mwaka 2032 jumla ya wataalamu 13,178 wanahitajika kutoa huduma za radiolojia katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi nya msingi
 
Hii kitu imesababisha baadhi ya private hosp kudorora maana hizi government hospital kwa sasa kuna vitu muhimu ambavyo zamani vilikuwa havipo hivyo kupelekea watu kulazimika kwenda private. Nimejionea mwenyewe sasa hivi kwenye vituo vingi vya afya siku hizi kunafanyika upasuaji mkubwa. Hongera serikali kwa hatua hii.
 
R.I.P Magufuli alionesha njia Kama tunaweza, na mwezie anafuata,
Kwa mwembo huu majirani watakuwa wanakuja kutibiwa kwetu.
 
Usije ukauliza gharama za kununua hizo mashine unaweza kuzimia, hela ya kununua mashine tatu wao wamenunua moja
 
Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dk Charles Mahera ameeleza kwenye kikao kazi cha wadau kujadili rasimu ya mtaala wa astashahada ya radiolojia

Vifaa tiba vingine vilivyosambazwa ni pamoja na X-ray zinazohamishika 108 ambazo zitatoa huduma kwenye majengo ya dharura yaliyojengwa kwenye halmashauri 80 nchini na majengo 28 ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).

Aidha, alisema katika mwaka wa fedha 2022 / 23, Tamisemi ilifanya upembuzi yakinifu na kujiridhisha kuwa kufikia mwaka 2032 jumla ya wataalamu 13,178 wanahitajika kutoa huduma za radiolojia katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi nya msingi
Baada ya miaka 60 ya uhuru, ndio unaona mashine zinasambazwa kwa kasi!!
 
Back
Top Bottom