Sema chochote kuhusu wachaga

Kwa bed wengi hovyoo hasa machame, marangu

hapo sina ubishi, ni kweli. Wengine wanaona kama ni kwaajili ya kukuridhisha wewe tu au mojawapo ya kazi yake kumbe ni sehemu ya wanandoa wote wawili waenjoy. Ila kuna watoto wa kichaga wamekulia mjini, NI NOMA KWENYE HAYO MAMBO.,
 
Ha ha ha! Raia Fulani wewe utakuwa Mchagga wewe? Umenifurahisha sana Meku but hiyo si kweli! Hiyo ni story kama ile uliyopigiwa na babu yako kuhusu Mawenzi na Kibo walikuwa marafiki wakagombana halaf Kibo akamwagia uji Mawenzi (Et ndio kisa cha Mawenzio kuwa na theluji)

Hiyo ishu ni kweli,tatizo historia ya makabila hatuijui maana ya wapare kwa kichagga ni wapige but baada ya muda kwenda ili kuondoa uhasama ndipo wakawa watani wetu tunaenda kwao kuwanyaanganya kuku, mbuzi, ngombe au kitu kizuri akiwa nacho lakini si kwa ugomvi kwa utani ndo mpwka leo hii wachagga hatuna watani wengine ni wapare tu.
 
duka la mchaga, anauza unga,misumari,barafu,sukari,samaki wabich,chuma chakavu,mbao,chps zpo pia,suruali,sahani,vipodoz,panadol,viatu,nanunua chuma chakavu,jipatie soda,chakula safi hapa,pata mkaa!duh kisikatize ki2 jamaa wanakpga bei
 
Mchaga huwa hapotezi damu yake... Zaa na mchaga halafu ondoka na mtoto.
Awe demu au man lazima siku moja atafanya hila aondoke na mtoto. Baada ya hapo sahau kuhusu huyo mtoto,harudi labda ufe!... Sijui wanafanyaga nini jamaa.
 
duka la mchaga, anauza unga,misumari,barafu,sukari,samaki wabich,chuma chakavu,mbao,chps zpo pia,suruali,sahani,vipodoz,panadol,viatu,nanunua chuma chakavu,jipatie soda,chakula safi hapa,pata mkaa!duh kisikatize ki2 jamaa wanakpga bei

mwanangu umeikamata nyota yangu kwa leo coz nimecheka kwa nguvu hadi mzee akaja kunicheck. Duuuuuu!
 
wachaga kwa pombe na nyama, loh i love them. sherehe za wachaga we andaa tu tumbo utakula na kunywa mpaka uombe poo.
 
Back
Top Bottom