Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.

Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila sababu?

Sisi wengine tunapenda Kila mtu kila Kabila pasi kuangalia mabaya yake kwa sababu kila mtu ana Mazuri/mabaya yake.

Hivi kweli mwanaume unaweza kuandika thread ya kushauri watu wachukie mtu/kabila fulani?

Unataka kuoa sehemu Fulani au MTU Fulani Nenda kaoe basi tuone kama utapata hiyo furaha .OVER
 
20231222_192158.jpg
 
Kila ndege na mti wake ndg!
Wazee walifanya hivyo na ndoa zikadumu.
Jidanganye na utandawazi wenu, asili ya jamii haipotei. Kuna namna flani jamii hazipatani, na asilimia kubwa ya ndoa baina Yao huishia kwenye migogoro.
 
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.

Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila sababu?

Sisi wengine tunapenda Kila mtu kila Kabila pasi kuangalia mabaya yake kwa sababu kila mtu ana Mazuri/mabaya yake.

Hivi kweli mwanaume unaweza kuandika thread ya kushauri watu wachukie mtu/kabila fulani?

Unataka kuoa sehemu Fulani au MTU Fulani Nenda kaoe basi tuone kama utapata hiyo furaha .OVER
Humu JF hutakiwi kila kitu kuchukulia serious, humu kuna watu wana matatizo tofauti tofauti mfano sonona( depression), wafia dini wapo humu, wakabila wapo, wale kataa ndoa wapo, wale wazee wa kubet wapo humu na uwambii kitu wakali hao na wengine kibao wapo humu.
 
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.

Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila sababu?

Sisi wengine tunapenda Kila mtu kila Kabila pasi kuangalia mabaya yake kwa sababu kila mtu ana Mazuri/mabaya yake.

Hivi kweli mwanaume unaweza kuandika thread ya kushauri watu wachukie mtu/kabila fulani?

Unataka kuoa sehemu Fulani au MTU Fulani Nenda kaoe basi tuone kama utapata hiyo furaha .OVER
Kwa habari ya wanawake wa kijita nikushauri kuwa positive! Kama wewe ni mjita rudi ujitani ukaelimishe wajita wenzio kuachana na mila na desturi hizo za hovyo! Usipoteze muda na nguvu zako nyingi kununa badala yake wekeza muda na nguvu zako kubadilisha mila na desturi zenu!

Kwa upande wetu tunamshukuru Mungu kwa angalizo alilotupatia ndugu yetu yule! Mungu ambariki sana! Ikibidi aendelee kumulika na makabila mengine ili kuepusha matatizo mbalimbali ya ndoa! Na akiandika kitabu katika hili, tutakinunua!

Mbadilike wajita!
 
Chuki
 
Back
Top Bottom