Sema chochote kuhusu wachaga

Kwa wachaga wengi.
1.Mungu
2.Pesa
3.Ubinadamu
kwa wachaga waliopinda sana #2 huwa #1 and vice versa.
Kwa most other tribes
1.Mungu
2.Ubinadamu
3.Pesa.
 
This is not you Riwa bana...! Unakunja ndita kwa mambo ya humu?

Mjinga huyu...tuiteni wezi, malaya, wauaji, hatujui mapenzi, wapenda hela...and so on! lakini sio uniite mshenzi, kama uko karibu yangu ni ngumi tu! Mpuuzi kaniudhi sana huyu, jua siku nikikugundua una ngumi zangu kadhaa, labda uwe pande la mtu kama mimi!
 
Mpotezee bana
Si unajua humu mtu ana jeuri ya kusema chochote tu...
 
hivi great thinkers ndio hivi,mbona kila siku wachaga wachaga??hakuna mambo ya maana ya kuleta hapa? mbona hamuongei kuhusu wakwere??acheni hayo mambo nyie

Wala isiku'pain ! Hivi wajua siku zote kilichokua popular ndicho kisemwacho sana! Kuna siku ikapita usione jina la Jeikei gazetini ? Mi si Mangi but ufahamu wangu ni huo.
 
Namini akuna kabila linalotajwa kwa mazuri na kwa mabaya kama wachagga je una lolote lakusema juu yao kwa mema au mabaya
Nawasilisha

Wanapenda kwenda kwao nyakati za X-Mass na Mwaka mpya
Wanathamini sana pesa kuliko utu
Wanapenda sana pombe kuliko chai
Watoto wao wengi walioko vijijini wakati wao (wanaume) wako mjini wanahitaji kupimwa DNA
Inaaminika Nyerere alikataa wapewe urais wa nchi
 
Salim Ahemed Salim was the first deputy Prime Minister.
From 1990 to 1995 Mrema held various cabinet and high level government positions:
  • Minister of Interior 1990-1994
  • Deputy Prime Minister (a position not in the Tanzanian Constitution) 1993-1994
  • Minister of Labour, Development and Sports 1994-1995
Salim alikuwaje Deputy Prime Minister? Mwaka gani?
 
Wanapenda kwenda kwao nyakati za X-Mass na Mwaka mpya
Wanathamini sana pesa kuliko utu
Wanapenda sana pombe kuliko chai
Watoto wao wengi walioko vijijini wakati wao (wanaume) wako mjini wanahitaji kupimwa DNA
Inaaminika Nyerere alikataa wapewe urais wa nchi

unajua nyerere ni kyasaka maana aliona kama mwinyi amefanya bishara akiwa ikulu mkapa akaja akafanya biashara akiwa akulu kikwete naye anafanya biashara ikulu sasa kama hii inji hii itashikwa na hawa amabao bishara na pesa ndio ziliubwa kwaajili yao itakuwa balaa mangi.

utu ni kitu gani mbele ya pesa muulize mwakembe alikaa pesa ona sasa watu wamemwonyesha utu

kuhusu kupenda pombe kuliko chai ni sawa kabisa unanikumbusha tukienda moshi wakati wa krismasi halafu eti buli iwe imetiswa hapo nyumbani mnaamka mnachemsha chai ya nini sasa?.
ila uzuri wetu tukiwa huku mjini asubuhi tukiamka tunasahau kunywa chai tunakimbilia pesa kwanza tukishazishika tunaenda bar kugonga bieri na pombe makali na mtori
 
Mjinga huyu...tuiteni wezi, malaya, wauaji, hatujui mapenzi, wapenda hela...and so on! lakini sio uniite mshenzi, kama uko karibu yangu ni ngumi tu! Mpuuzi kaniudhi sana huyu, jua siku nikikugundua una ngumi zangu kadhaa, labda uwe pande la mtu kama mimi!

mkwara mbuzi, mchaga mwivi we. Alafu we ni wa kinyange eh?
 
Wachaga wengi wamesoma shule, na wana bahati sana ya kupata kazi TRA na HAZINA
Suala sio bahati, wachaga wengi wanashule kichwani na wanathamini elimu. hakuna na haitatokea Mkoa wenye shule nyingi za secondary kama kirimanjaro. usishangae wachaga kuwa wasomi, waliona mbali mapema mno.
 
wachaga gangwe sana. Waliwapiga sana wapare hadi jina la kipigo likawa la kabila. Wapare maana yake wapasue
 
Back
Top Bottom