Sema chochote kuhusu wachaga

wachaga wana yao mengi:
1. ukiona kakupenda ujue wewe una pesa au una nyota ya pesa
2. akikupenda lazima atakufanya mtaji
3. ukiwa na mchaga is guarantee hulali njaa
4. all they talk about is money, money, and money hadi unaogopa asije kukutoa kafara
 
...ndo huwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?. Mshahara wako sh ngapi vile, watoto/wewe/ndugu zako elimu yao vipi, na maisha yako vipi?, nchi yako je?,.
...Chaggas will lead you and ur mind always and ever.
 
wabinafsi na wapenda upande wao tu. kwa upande wa mapenzi ni kweli kabisa hawako romantic kwa asilimia kubwa
 
Wachaaga Nouma Xaaana Wanapenda Xana Maendeleo Kushinda Makabila yoote.Big Up XaanaWachaga
 
Nadhani wewe hujaitembea Tanzania hii ambayo ni nchi yako.

Kama haujui kuwa Moshi ni mji mdigo ukilinganisha ni miji mingine ya mikoa basi wewe ni wa kusamehe.

Mfano tu, jaribu kutafuta idadi ya wakazi, ukubwa wa eneo la manispaa, nadhani utapata angalau picha.

Moshi napajua ndg yangu, kuanzia Majengo, kwa mtei, pasua, soweto, karanga, shanti town, Dar street, Kcmc, Rau, n.k.hunielezi kitu, nimeishi pale kwa miaka 4 hadi nilipohamishwa kiutumishi.

Asante

Kama unapajua vizur nadhan utakua mjinga kusema kwamba malaya ni wachaga kwa sabab kuna vyuo vitatu sa hv pale moshi muccobs,kcmc,mwenge bado kuna stefano moshi,,,,so nadhan ushaelewa
 
Back
Top Bottom