Sema aleluya kwa kila uliyezini naye

Ndo maana Mungu hakuamuru mwanadamu kutubu dhambi zake kwa binadamu mwenzake bila kujali nafasi yake katika kazi ya Mungu.
 
wewe ni balaa kwa kuniongezea siku za kuishi, kwani nimecheka ni balaa. Ahsante sana, kazi na dawa.
 
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama...
"Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..."
Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana...
Atakusamehe tu..."
Jamaa: "Mchungaji nimezini na wanawake wengi sana hapa kanisani...."
Mchungaji: "Usihofu kabisa mwanangu, utasamehewa tu... Ila ili usamehewe vyema inabidi uwataje na useme umezini nao mara ngapi ili nao pia tuwaombee..."
Jamaa: "Daaah, hapana mchungaji... Naona aibu saana, siwezi ongea..."
Mchungaji: "Owky, sawa basi.. Baada tu ya ibada kuisha tutatoka lango kuu wote na ukimuona yoyote uliyewahi zini naye we sema 'ALELUYA'... Kama umezini naye mara moja, utasema 'ALELUYA' mara moja... Kama ni mara tatu hivyo hivyo..."
Wakakubaliana na ibada ilipokwisha wote wakawa lango kuu la kutokea...
Waumini walipoanza kutoka, akapita mke wajirani yake mmoja...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA,ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA....
Mchungaji: "Mungu akusafishe na kukusamehe kabisa mara saba zote mlizozini..."
Punde kidogo akatoka mke wa kiongozi wa kwaya taratiibu...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA!!!!"
Mchungaji: "Mungu awasamehe saana mara tatu zote mlizozini..."
Mke wa mzee wa kanisa akapita huku kashika biblia...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA,ALELUYA.....
Mchungaji: "Bwana akusamehe na kuwasafisha kabisa wote mara 5 zote ulizozini naye..."
Mara akapita mke wa mchungaji...
Jamaa: "ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA,ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA, ALELUYA...
Kabla jamaa hajamaliza Mchungaji akamzibuaKOFI na kumwambia...
"PUMBAVUUUUU... . Tena SHENZI kabisa!!! Na ulaaniwe kabisa SHETWANI mkubwa we!!! NaMUNGU asikusamehe milele na moto wa JEHANAMU ukufanye kuni kabisa mbwaaah weeeeh... Tena TOKAAAAA =$@€*%# na nisikuone tena unakanyaga kanisani kwangu!

Jamani hii ndo nini? Ni wazi kwamba baadhi ya watu, akiwemo mleta thread hii hawasomi thread zilizotumwa hapa! Thread hii ni almost identical na thread aliyoleta Excellent mapema mwaka huu.Tofauti ni kwamba kwenye thread ya Excellent, huyo jamaa aliyezini aliambiwa na mchungaji aseme Pauuu! ila kwenye thread hii ni Aleluya! Utani unaorudiwa hauna ladha!
 
kama umerudiwa na ukaustukia sema HALELUYA HALELUYA HALELU
 
Jamani hii ndo nini? Ni wazi kwamba baadhi ya watu, akiwemo mleta thread hii hawasomi thread zilizotumwa hapa! Thread hii ni almost identical na thread aliyoleta Excellent mapema mwaka huu.Tofauti ni kwamba kwenye thread ya Excellent, huyo jamaa aliyezini aliambiwa na mchungaji aseme Pauuu! ila kwenye thread hii ni Aleluya! Utani unaorudiwa hauna ladha!

mimi sikuwahi kuisoma na nilipoisoma imenichekesha. Unataka kusema nini? Tuwe na utaratibu wa kupekua thread za kuanzia 2006 ili tusirudie? Halleluuuya!
 
teh teh teh, haha hahah sasa mkristu baada ya kufukuzwa alienda wap? ingekua ni mimi ningeenda kumshtak mchungaj:nerd::nerd:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom