Sema aleluya kwa kila uliyezini naye

Najuta kufungua hii web nikiwa kwenye kikao. Yaani nimecheka ghafla bahati nzuri nilikuwa karibu na mlango nikatoka nje mwenyewe. Duh! hii ni kali mno. Ndugu yangu Pastor itabidi umsamehe na umwombee asahau kabisa ku-haleluya. After all if she was srewed, she can't be unsrewed!!!
 
Najuta kufungua JF nikiwa kwenye kikao. Yaani sikumbuki nilichekaje ila bht nzuri nilikuwa karibu na mlango. Mwenzangu Pastor itabidi usamehe na umwombee aache kabisa ku-haleluya.
After all if she was srewed she can't be unscrewed.
 
Mkuu pole sana asee...:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom