Kipanga The Notable
Member
- Jun 5, 2014
- 34
- 4
Jamani Anaejua Selection Za Kidato Cha Tano Zitatoka Lini Aniambi Maana Nimesubiri Mpaka Basi.
This is too much,ujaona thread nyengine au?
Jamani Anaejua Selection Za Kidato Cha Tano Zitatoka Lini Aniambi Maana Nimesubiri Mpaka Basi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...326-kuhusu-selection-za-form-five-2014-a.htmlJamani Anaejua Selection Za Kidato Cha Tano Zitatoka Lini Aniambi Maana Nimesubiri Mpaka Basi.
Acheni huo upumbavu kwani nyie ndo watu wa kwanza hii tanzania kwenda form five.subirini mtaenda tu mnawasiwasi wa nini ,hata zikitoka mwezi wa kumi mtaenda tu ,,kweli mnaboa sana mnaosubiri selections kwa makelele
haraka za nin madogo kama ipo ipo tu mnamawenge mefel ?
haraka za nin madogo kama ipo ipo tu mnamawenge mefel?
kama wa babako
haraka za nin madogo kama ipo ipo tu mnamawenge mefel?
dah!!!hzo post znaweza zkawatoa madogo damu.huku ktaa habar ya mtaa ndo hyo coz kuna raia weng wamemalza na wana three.so wana pressure mbaya coz wanasema kuna uwezekano wa kuachwa
we jamaa umekoswa cha kujibu nn..?Umri wako ni Miaka mingapi ?
we jamaa umekoswa cha kujibu nn..?