Selection Za Form 5-2014

Acheni huo upumbavu kwani nyie ndo watu wa kwanza hii tanzania kwenda form five.subirini mtaenda tu mnawasiwasi wa nini ,hata zikitoka mwezi wa kumi mtaenda tu ,,kweli mnaboa sana mnaosubiri selections kwa makelele
 
Umri wako ni Miaka mingapi ?
 
dah!!!hzo post znaweza zkawatoa madogo damu.huku ktaa habar ya mtaa ndo hyo coz kuna raia weng wamemalza na wana three.so wana pressure mbaya coz wanasema kuna uwezekano wa kuachwa
 
wenye 3 wote hawataacha wote watajiunga ktk shule za selikari source habarileo 15 apr wazir kaweka wazi yoote
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom