Selection Za Form 5-2014

Vijana wanahaki ya kuhoji, hili ni jukwaa lao pia,tusipende kujifanya kwamba baadhi ya watu wana haki kuliko wengine. Mbona ajira mpya za walimu ilikuwa habari ya mjini kwenye hili jukwaa? Wakaongelee chooni? Tusiwanyanyepae wadogo zetu, tuwape faraja wana wasi wasi na future yao jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom