RealTz77
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 738
- 40
hii ni shule ya scholastica moshi,je inamilikiw na CCM?au ndo kujikomba kwa wafanyabiashara?hii tabia inasaidia nini hasa kujikomba kwa chama?means chdema au CUF etc wakishika nchi hii skul watachange uniform au zitabakia na rangi hizi?wenye habari tafadhali tupatieni ukweli