Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,045
Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu Hassan Mohammed Juzi.

Ili kupata kile ambacho nilikuwa nakitaka hasa katika hili Tukio ilinilazimu GENTAMYCINE kutulia sana, kutumia Saikolojia yangu Kali na Mbinu zangu za Uandishi wa Habari ( wa Uchunguzi na Uibuaji ) wa Masuala ili nijue Ukweli na Sisi kama Wadau na Wazazi tuwe na sehemu ya kuanzia Kulijadili ili liwe Fundisho na pia lisije Kujirudia tena.

Vile vile nichukue nafasi hii kutoa Pole yangu kwa Familia ya Marehemu Mwalimu ( Patron ) Bwana Hassan Mohammed na nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Nguvu na Uvumilivu hasa katika Kipindi hiki Kigumu mnachopitia.

Hivyo hivyo nimpe Pole Kijana ( Mshukiwa wa Mauaji ) Mohammed Jabir na hasa hasa Wazazi wake kwani najua Kisaikolojia kwa sasa wanapitia Kipindi Kigumu mno ila kwa Kudra zake Allah ( Mwenyezi Mungu ) yote haya yataisha.

OMBI

Tafadhali Jeshi la Polisi naomba Mahojiano yangu na Mmoja wa Mwanafunzi aliyeshuhudia hilo Tukio yasiwe ndiyo Hitimisho la Uchunguzi wenu juu ya hili Sakata bali tumieni haya Majibu mtakayoyapqta hapa katika Kuwasaidia Upelelezi wenu juu ya Mtuhumiwa dhidi ya Marehemu lakini pia hata Hakimu wa hii nina uhakika majibu ya huyu Mwanafunzi Shuhuda wa Tukio zima yatakusaidia katika taratibu zako za kutoa Hukumu Stahiki kwa Mtuhumiwa.

GENTAMYCINE: Kijana hujambo?

Mwanafunzi Shuhuda: Sijambo Baba Shikamoo

GENTAMIYCINE: Marahaba. Poleni kwa Msiba wa Mwalimu na kwa Mwenzenu Kukamatwa na Polisi

Mwanafunzi Shuhuda: Asante Baba ila kama Wanafunzi tumesikitika kumpoteza Mwalimu na kwa Mwenzetu sasa kuwa hatiani

GENTAMYCINE: Je, Shuleni Kwenu hapa kuna Ulinzi wa kutosha na Wanafunzi mnadhibitiwa inavyostahili?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli hapa tuna Mlinzi Mmoja tu na kuna nyakati huwa anasinzia na Sisi Wanafunzi tunaruka ukuta kwenda Mtaani na kuna hata sehemu ya Ukuta wa Shule kuna Tobo na baadhi ya Senyenge zimekatwa ambapo huwa tunapenya.

GENTAMIYCINE: Kwakuwa hii Shule yenu ni ya Bweni je, huwa mnafanyiwa Rokoo hasa nyakati za Usiku ili kujua kama nyote mpo au hampo?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni kama tu hakuna kwani tunafanyiwa mara moja moja mno na sishangai ndiyo maana hata baadhi yetu wale Wajanja Wajanja huweza Kutoroka Usiku kwenda Kubeti barabarani na kurejea.

GENTAMYCINE: Natamani kujua aina ya Elimu mnayopewa hapa ili na Mimi Siku Moja nishawishike Kumleta Mwanangu asome hapa.

Mwanafunzi Shuhuda: Kwani Baba na Wewe ni Muislamu?

GENTAMYCINE: Ndiyo ( nikamdanganya Jina kuwa naitwa Ramadhan Shaaban ) na akafurahi na Kuniamini wakati Mimi ni Mkristo halisi tena wa Dhehebu tukuka la Katoliki.

Mwanafunzi Shuhuda: Ukweli ni kwamba huwa tunapewa Elimu hii ya Darasani kisha na ile ya Dini yetu ya Kiislamu ila kuna muda huwa tunapewa Mazoezi ya Kuwa Fiti na Kujilinda dhidi ya wale wanaocheza au wanaoitusi Imani yetu.

GENTAMYCINE: Je, kama Shule na hata nyie Wanafunzi wa Shule yenu mna Mahusiano mazuri na Majirani au Watu wanaowazunguka?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli Wanafunzi wa Shule yetu hatutskiwi kabisa Kujichanganya na Watu mitaani, kusema Mambo yetu na hata Watu wa Kawaida hawaruhusiwi kuingia Shuleni labda wawe na ruhusa Maalum na kiukweli Sisi kama Wanafunzi tumeshazoea kuwa mbali na Jamii inayotuzunguka pale.

GENTAMIYCINE: Unamjua vyema Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir?

Mwanafunzi Shuhuda: Namjua vyema na ni Rafiki yangu pia.

GENTAMIYCINE: Nasikia ni Mwanafunzi Mkorofi na hana Adabu halafu ameshanusurika Kusimamishwa Shule zaidi ya mara Mbili ( hapa nilikuwa Namtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Baba nakuomba Jumatatu njoo pale Shuleni ulizia tu Mwanafunzi yoyote juu ya tabia ya Mohammed Jabir utaamini.

Hakuna Mwanafunzi mpole, msikivu na mwenye Nidhamu pale Shuleni kama Yeye na hata Walimu huwa wanamsifu kwa hilo.

GENTAMIYCINE: Hongera nimeambiwa kuwa Marehemu Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed alikuwa akikupenda kuliko Wanafunzi wengine wote pale Shuleni ( nimemuuliza kwa Kumtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Aiyekuambia hivyo Kakudanganya kwani hakuna Mwalimu nisiyempenda na asiyependwa na Wanafunzi pale Shuleni kama Yeye ( Marehemu )

GENTAMYCINE: Kwanini?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni mbabe, mkatili, muonevu na kuna muda alikuwa hata akitudhulumu Vitu vyetu Wanafunzi akisema havitakiwi Shuleni na kubaki navyo Yeye na ukimhoji anaishia ama Kukupiga au Kukuchukia kabisa.

GENTAMYCINE: Siyo kwamba na nyie Wanafunzi ni Jeuri na Viburi hivyo alikuwa akiwanyoosha?

Mwanafunzi Shuhuda: Sikatai Baba wapo baadhi ya Wanafunzi Wenzetu pale japo ni Shule ya Kidini ila ni Wakorofi, Wahuni na hadi Bangi wanavuta.

GENTAMYCINE: Nasikia ili Kujilinda pale Shuleni Kwenu Wanafunzi mnaruhusiwa kuingia au kuwa na Silaha kama Kisu na Panga je, ni kweli? ( nikiwa Namtega tena )

Mwanafunzi Shuhuda: Si kweli Baba haturuhusiwi kamwe kuingia na Kisu wala Panga ila wapo Wenzetu baadhi huingia na Visu kwa kuvipitisha katika Chocho za Ukutani na hutumia kwa Kumenyea Matunda hasa nyakati za Usiku ila kuna wale Wacheza Karate hupenda Kuvitumia kama sehemu yao ya Mazoezi lakini wengine huvificha chini ya Magodoro kwa ajili ya Kupambana na Maadui ( Vibaka na Wezi ) anbao kuna nyakati hasa Kipindi cha Mgawo wa Umeme walituvamia sana hapa kwa kupitia kule Ukutani na Kutuibia hadi na Kutupiga pia.

GENTAMYCINE: Umesema uliona tukio la Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed dhidi ya Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir sasa nakuomba hapa unionyeshe kwamba kweli Wewe ni Muislamu Safi Mwenzangu huna Unafiki, Hudanganyi na humuonei Mtu kwa utachonielezea sawa Mwanangu Mpendwa?

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba. Ukweli ni kwamba mida ya Saa 11 za Alfajiri alikuja Patron ( Mwalimu ) kutuamsha kwa ajili ya kwenda Kuswali.

Alipokuja kutuamsha ( kama kawaida yake ) wengi tuliamka na kuanza Kujiandaa kwenda Kuswali ila Mwenzetu Mohammed Jabir aliendelea Kulala isivyo kawaida yake.

Wakati wengi wetu tumeshatoka Bwenini ghafla tukamuona Patron ( Mwalimu ) amerejea Bwenini na Kumkuta Mohammed Jabir akiwa amelala ndipo Mwalimu akapandwa na Hasira na kuanza Kumvuta Mohammed Jabir kutoka Kitandani huku akimpiga, akimtukana na Kumkandamiza kwa chini Shingoni na Mguu wake Hali iliyomfanya alipomuachia Mohammed Jabir alipandwa na Hasira Kali na kwenda Kuinua Kitanda cha Mmoja wa Mwanafunzi anayemjua kuwa na Kisu na kuja nacho Kumshambulia Patron ( Mwalimu ) na muda mfupi tukaona Mwalimu Kaanguka nasi kuingiwa na Uwoga na kuwahi Kumuita Mlinzi ( huku Mohammed Jabir akiwa kama Mtu aliyechanganyikiwa ) ndiyo baada ya muda Mwalimu ( Patron ) akapakiwa katika Gari kukimbizwa Hospitali ambapo baadae tukaambiwa kuwa Amefariki dunia.

GENTAMIYCINE: Je, Mohammed Jabir alifanya hili Tukio peke yake au labda kulikuwa na Mtu Mwingine?

Mwanafunzi Shuhuda: Kiukweli alikuwa Mwenyewe ila kulikuwa na Mwanafunzi Mwingine simkumbuki Jina alikuwa akifurahia Mwalimu ( Patron ) Kupigwa kwakuwa alikuwa na Kisa nae ( Kisichojulikana ) na alikuwa akimwambia Mohammed Jabir kutokea dirishani kwa nje alikokuwa kuwa amdedishe ( amuue ) na Yeye ataleta Kiroba ili wamtupie humo.

GENTAMYCINE: Duh.... hatari sana. Naona mida yetu ya Kuswali imefika naomba nikuache nikajiandae nitakutafuta Jioni ili unipe Ratiba ya Mazishi ya Mwalimu ( Patron )

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba hakuna shida nami najiandaa kwenda Kuswali Msikiti jirani hapa wa Londa.

Haya ndiyo yalkuwa Mahojiano yangu yangu na Mwanafunzi Shuhuda juu ya Tukio hivyo naomba sasa GENTAMYCINE niwaachieni nyie Wajuvi na Wataalam muweze Kulijadili kwa kina.
 
Itoshe kusema ameua bila kukusudia ikiwa yasemwayo na shuhuda .

Kazi nzuri mkuu wangu GENTAMYCINE

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
9

Kazi nzuri!
 
Ile shule ni rahisi kwa watoto kupenya hata kuingia na silaha , mazingira ya shule haina ukuta , wameweka tu kifensi cha wavu wavu na madogo walishakitoboa muda ! Watoto wako bweni ila huduma zote wananunua nje hadi mihogo ya kukaanga biashara zinafanyika hapo hapo kwenye hiyo fensi !! Ili kupunguza athari wenye shule wangenyanyua ukuta kama ilivyo FEZA ingekua poa sana !
 
Nakubaliana nawe kwa 100% uko sahihi.
 
Genta Hongera kwa uchunguzi na nadhani Police watatumia bandiko hili kumsaidia huyu kijana maana alikua akijilinda.....

Huyu mwalimu ndio inaonekana ana shida..na walimu kama hawa wanatesa watoto wetu sana..kuna mmoja alikua anapiga watoto shule moja kule moshi na mikanda migongoni

Nilideal nae mpaka alihama na shule....

Msaidieni huyo kijana!
 
Wanafunzi walikua wametoka wote kwenda kuswali,patron akarudi bwenini,wakamuona Mohd jabiri akitoa kisu chini ya kitanda Cha mwingine na kumchoma,mwanafunzi mwingine dirishani akawa anamjaza pampu akiwa na kiroba,Hilo bweni likoje,la hema!?
Nimeleta Maelezo ya Mwanafunzi Shuhuda na mapema sana nimetahadharisha kuwa anachokisrma huyu Dogo kisiwe ndiyo Hitimisho bali kwakuwa Police wao wana Ujuzi na Mbinu zaidi za Kiupelelezi naomba waende mbali zaidi ila wanaweza kutumia baadhi ya Facts za huyu Mwanafunzi Shuhuda kuwasaidia kujua Kiini. Je tatizo hapa liko wapi?

Waswahili mna taabu mno halafu mkiitwa Majuha ( Fools ) mnakasirika na kuona kuwa mmetukanwa.
 
Genta Hongera kwa uchunguzi na nadhani Police watatumia bandiko hili kumsaidia huyu kijana maana alikua akijilinda.....

Huyu mwalimu ndio inaonekana ana shida..na walimu kama hawa wanatesa watoto wetu sana..kuna mmoja alikua anapiga watoto shule moja kule moshi na mikanda migongoni

Nilideal nae mpaka alihama na shule....

Msaidieni huyo kijana!
Asante Mkuu ila nimegundua kuna Watu hapa ni Wapumbavu kuliko hata wanavyojijua.

Kuna Mwendawazimu Mmoja anataka niweke Sauti ya huyu Mwanafunzi Shuhuda aliyenipa Ushirikiano. Hivi nikiweka mfano hiyo Sauti yake ( kama ninayo ) na akasikika au kujulikana si itakuwa HATARI Kwake na nitamuweka matatizoni?

Kuna Mipumbavu mingine Miwili hapo juu imesema kuwa hii Nimetunga tu sasa kama wamajua Nimetunga ni Uongo yao ya Ukweli iko wapi?

Hata Juzi nilipoleta hapa JamiiForums Taarifa ya Tukio hili kama Kawaida sikuaminika na Mipumbavu hiyo hiyo ikidhani Nimekurupuka hadi baadae walipoona Press Release ya RPC wa Dar es Salaam Afande Muliro akithibitisha.

Nimehangaika kwenda deep na hii Taarifa na kuileta hapa JamiiForums kama sehemu Kuu ya Taarifa za uhakika na GENTAMYCINE sihitaji Malipo yoyote na sifanyi ili nilipwe bali Mimi kupoenda Kuwahabirisha Watu si tu ni Taaluma bali pia ni Passion yangu.

Nafanya Uandishi wa Kuisaidia Jamii kwa Kuibua Uovu, kuelezea Masuala, kufanya Tafakuri Tunduizi, Kushauri, wa Kizalendo na Kuchambua Masuala Mtambuka ya Siasa, Jamii, Elimu, Saikolojia na Michezo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Back
Top Bottom