Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

032152.jpg



91f9402715b9177963b47c4c8b9cb4cb_lm.jpg
 
Well kuwa na mafuta sio sababu ya kuwa tajiri.
Kwenye uchumi kuna mambo mengi kama ingekuwa resources ndio muhimu basi Africa ingeongoza dunia.
Saudi wana Mafuta lakini hawana resource nyingine muhimu kwa maisha, na kikubwa ni ukosefu wa created resources, technologia....na hii ndio inamaliza.
Yale mafuta wanaofaidi ni Shell, BP na wengine, Saudi wanapata kodi tu na mrahaba kama tulivyo bongo na dhahabu.
Yale mafuta yanapelekwa Japan, USA etc halafu yanarudi Saudi kama bidhaa zilizokuwa na value zaidi ya unavyoweza kufikiri.
Zaidi mfumo wa Saudi ni na ukiritimba so hata hiyo kodi na mrahaba vinaishia kwenye himaya ya Mfalme.
Halafu nchi imewekeza kwenye miundo mbinu kwa ajili ya watu kwenda kuhiji, hizo hela zote ni mikopo na wanadaiwa, hivyo mafuta ni collateral na ndio mana impact yake ni ndogo.
Nchi kama UAE wameliona hilo na ndio mana wamefungua economy yao kwa mtu yeyote, hawashurutishi mtu kufuata desturi zao ila usivunje sheria....wamegundua kuwa uchumi haukui kwa kuwa na natural resources tu.


Jamani nadhani kila mmoja anajua the Biggest Exporter wa Mafuta Duniani ni Saudia. Na kwamba King Abdullah[?] aliwahi kuwa Top Three ya Richest Man of the World nyuma ya Gates, nafikiri na Murdock.
Huwezi kuamini 70% wanaogelea kwenye umasikini kama wa dunia ya tatu! Hawana uhakika wa kula,mavazi na hata pa kulala panasikitisha mno! Imefikia hatua raia wengi kujitumbukiza kwenye biashara haramu ya madawa ya kulevya! Kwa kuwa sheria ni kali unapogundulika unafanya biashara hiyo,kwa sasa wanatumia watoto ambao nao wanachangamkia kutokana na kipato kinachowasaidia wao wenyewe na familia zao! Source: Press TV [IRAN]
 
Nilibahatika kuwaona "beggars" wa Saudi Arabia. Mwanamke kajaza bangili za dhahabu mikononi, ambazo kwetu hapa thamani yake hukosi nyumba. Anaomba. Nikashangaa.

Beggars wapo lakini jamani, si wa kawaida.
_1_~2.JPG




2909_nat_p9_n19.jpg


661152_1.jpg
 
Homeless Nao ni kibao, kata utitiri
097193.jpg


b174e1722af1beab9f41f9eda9bec799_lm.jpg


Poor Saudi Man lives in the Sheep house.

8ed1c642dc3f6bb582e5b71a94bbbadd_lm.jpg
 
Back
Top Bottom