MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
Usitupotezee muda kwa mambo ya kuzusha.Makafiri wa enzi za Mtume mwenyewe wakati yuko hai walifanya kama hivi na wakashindwa.Jamani nadhani kila mmoja anajua the Biggest Exporter wa Mafuta Duniani ni Saudia. Na kwamba King Abdullah[?] aliwahi kuwa Top Three ya Richest Man of the World nyuma ya Gates, nafikiri na Murdock.
Huwezi kuamini 70% wanaogelea kwenye umasikini kama wa dunia ya tatu! Hawana uhakika wa kula,mavazi na hata pa kulala panasikitisha mno! Imefikia hatua raia wengi kujitumbukiza kwenye biashara haramu ya madawa ya kulevya! Kwa kuwa sheria ni kali unapogundulika unafanya biashara hiyo,kwa sasa wanatumia watoto ambao nao wanachangamkia kutokana na kipato kinachowasaidia wao wenyewe na familia zao! Source: Press TV [IRAN]
Hili ni Bafu la Kuogea Saudi Arabia
It's not just women who face hurdles. Some experts here say privately that all poor Saudis suffer because the government and society are reluctant to acknowledge poverty in the kingdom."FF, huo ndiyo ukweli hasa kuhusu Saudia. Mimi niko Saudia miaka kadhaa na haya unayoyasema ndiyo ninayoyashuhudia. Beggars waliopo kwa ujumla ni wanawake na siyo Wasaudi bali watu wa kutoka nje.
"It's not just women who face hurdles. Some experts here say privately that all poor Saudis suffer because the government and society are reluctant to acknowledge poverty in the kingdom."
They don't talk about this poverty, why?
Usitupotezee muda kwa mambo ya kuzusha.Makafiri wa enzi za Mtume mwenyewe wakati yuko hai walifanya kama hivi na wakashindwa.
Madhumuni ya thread hii ni kupotosha na pengine kuvunja moyo wanaopenda kusilimu na hatimae kwenda Hijja.
Picha zote mlizotoa hazina maelezo na yumkin sio za Saudia hasa vile vyoo vichafu.Ukipinga ninalosema tuambie hizo picha zimechukuliwa eneo gani,kwani Makka muda wa Hija pamoja na msongamano mkubwa wa watu hakuna uchafu wa aina yoyote si barabarani tu bali hata vyooni.Narudia kusema kuomba Saudia ni kwa wenye maradhi hayo na wanaotaka utajiri lakini si kwa njaa kama wanavyofanya huko anakotoka Billy Gates.
Saud Arabia inalindwa na wamarekani kwa gharama kubwa sana ! Sijui tishio ni nani ? Ufalme unazuia baadhi ya misingi ya kiislaam, wengi hawaelewi ya kuwa taifa hilo linaendeshwa kwa maslahi ya royal family na si 'UISLAAM'
Watu wanaofikia ukubwa wa nchi nzima wanaingia eneo hili dogo sana.