Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

najiuliza where do u get your information. nashanga unaposema saudi ana namba nyingi ya ombaomba.....

simple calculation 15% of america is poor. total america popul. is 320,000,000.so the poor are 48,000,000.

saudi arabia

total popul. 28,000,000

poor 10%.so the poor are 2,800,000

sasa wewe unaonaje nani kazidi,basi hata ki percentage bado.

israel total popul. 7,800,000
underpoverty line 24% 1,872,000

"Thirty per cent of Saudis earn less than SR 1660 and thousands of them like Ahmad, the watchman, earn less than SR 1200," said Dr Al Fasi. "Around half of all Saudi families don't own their homes, with a considerable percentage of them living in shanties like those whom King Abdullah visited six years ago," she said.

Poverty in Saudi Arabia | Stranger in this DunyaDo you know how much is RS 1660 per month? It is around 400 USD. Which is 400 x 12 = 4,800 UDS per year ndio ndugu yako anapata kwa MWAKA. Ha ha ha ha ha ha ha


Sasa NJOO kwetu uone: Poverty line is $22,350 per year =$1,862.50 per month.
http://en.wikipedia.org/wiki/Poverty_in_the_United_States

Can you compare the two?

You must be kidding me.
 
beggars.jpg

Hii picha haiwezi kueleza hicho kilichokusudiwa,kuomba omba kwa wasaudi.Hao ni mahujaji wakiwa wamepumzika.
Omba omba ni jambo la aibu lakini kwa kule Saudi Arabia ukijitoa haya na ukafanya hiyo kazi basi kwa kipindi kifupi unatajirika,ndio maana wanaijeria wengi huenda kufanya kazi hii.Sio kama omba omba wa kiafrika na kimarekani wanaoomba ili wapate mlo wao wa siku.Unapokuwa Saudia ukiamua kutotumia pesa yako na kupokea vya bure basi hutolala njaa kwani utawala wa kifalme wenyewe unatoa vyakula vingi vitamu vitamu kwa watu wasio na uwezo au wale walioamua kufanyia ubakhili kile walichonacho.Wakati wa hija na muda mwengine watu kule Saudia huwa wakarimu sana na kupenda kutoa kwa wengine hata kama hawajaombwa.Kwa mtu anayetoka nchi za kimaskini kama huyo Jew anaweza akafanya kosa la tafsiri baina ya ukarimu na kuomba.Akiona mtu katoa akadhani kwamba kaombwa.
Kwa maelezo hayo naamini mwenye kupenda kujua atakuwa amefahamu kwamba ikiwa ni kuomba kule Saudia ni kutafuta utajiri na sio kutokana na shida ya njaa.
 
beggars.jpg

Hii picha haiwezi kueleza hicho kilichokusudiwa,kuomba omba kwa wasaudi.Hao ni mahujaji wakiwa wamepumzika.
Omba omba ni jambo la aibu lakini kwa kule Saudi Arabia ukijitoa haya na ukafanya hiyo kazi basi kwa kipindi kifupi unatajirika,ndio maana wanaijeria wengi huenda kufanya kazi hii.Sio kama omba omba wa kiafrika na kimarekani wanaoomba ili wapate mlo wao wa siku.Unapokuwa Saudia ukiamua kutotumia pesa yako na kupokea vya bure basi hutolala njaa kwani utawala wa kifalme wenyewe unatoa vyakula vingi vitamu vitamu kwa watu wasio na uwezo au wale walioamua kufanyia ubakhili kile walichonacho.Wakati wa hija na muda mwengine watu kule Saudia huwa wakarimu sana na kupenda kutoa kwa wengine hata kama hawajaombwa.Kwa mtu anayetoka nchi za kimaskini kama huyo Jew anaweza akafanya kosa la tafsiri baina ya ukarimu na kuomba.Akiona mtu katoa akadhani kwamba kaombwa.
Kwa maelezo hayo naamini mwenye kupenda kujua atakuwa amefahamu kwamba ikiwa ni kuomba kule Saudia ni kutafuta utajiri na sio kutokana na shida ya njaa.

The picture speaks by it self. There are more beggars in Saudi Arabia compared to Iran + Iraq
 
“Thirty per cent of Saudis earn less than SR 1660 and thousands of them like Ahmad, the watchman, earn less than SR 1200,” said Dr Al Fasi. “Around half of all Saudi families don’t own their homes, with a considerable percentage of them living in shanties like those whom King Abdullah visited six years ago,” she said.

Poverty in Saudi Arabia | Stranger in this DunyaDo you know how much is RS 1660 per month? It is around 400 USD. Which is 400 x 12 = 4,800 UDS per year ndio ndugu yako anapata kwa MWAKA. Ha ha ha ha ha ha ha


Sasa NJOO kwetu uone: Poverty line is $22,350 per year =$1,862.50 per month.
Poverty in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia

Can you compare the two?

You must be kidding me.

mkuu nacheka sana na mambo unayoyaandika yaani chuki tu.

kwenye saudi umechagua individuals lkn marekani umechuku hesabu ya juu kabisa.

kipato cha dola mia mbili marekani huwezi kuishi lkn saudia unaishi.


uliza tukuambie.

dont compare incomes tu.saudi life is much cheaper compared to america. sasa mwamerika anaweza pata hela hata 20,000 lkn hawezi kuishi lkn saudi hiyo Rs 1600 unaishi vizuri.



chukua hii point ukaisome vizuri kama home work


definitions of poverty vary considerably among
nations.dont compare incomes without understanding the life of individual nations on the ground.
 
mkuu nacheka sana na mambo unayoyaandika yaani chuki tu.

kwenye saudi umechagua individuals lkn marekani umechuku hesabu ya juu kabisa.

kipato cha dola mia mbili marekani huwezi kuishi lkn saudia unaishi.


uliza tukuambie.

dont compare incomes tu.saudi life is much cheaper compared to america. sasa mwamerika anaweza pata hela hata 20,000 lkn hawezi kuishi lkn saudi hiyo Rs 1600 unaishi vizuri.



chukua hii point ukaisome vizuri kama home work


definitions of poverty vary considerably among
nations.dont compare incomes without understanding the life of individual nations on the ground.

Vain words. I gave you reliable sources but you came with none.
 
Hizi sio tuhuma za leo ni siku nyingi sana, nakumbuka Marehem Mfalme Fahd alijibu: "Ikiwa kuna maskini wa kuomba omba Msaudi, basi huyo itakuwa si mzima au ni mvivu kupita kiasi".

Nakubali maneno yake kwani Wasaudi wote, nyumba bure, kusoma bure na kama huna uwezo wa kula unakwenda jiandikisha "Bait l'mal" na unapewa mshahara kila mwezi.

Wengi wa wanaoomba Saudia wanakuwa si Wasaudi.
FF, huo ndiyo ukweli hasa kuhusu Saudia. Mimi niko Saudia miaka kadhaa na haya unayoyasema ndiyo ninayoyashuhudia. Beggars waliopo kwa ujumla ni wanawake na siyo Wasaudi bali watu wa kutoka nje.
 
mim nauliza hvi kwanin wakiongelewa waarabu waislam uja juu. Jaman waarabu ni race c o dini.
 
I am surrounded by you guys. I have never seen any good thing coming from you guys. Just look at your self, remember this: Iran?


The Iran-Iraq War

Nyie Wayahudi mpendikizwa hapa TZ kuja kuleta mfarakano wa Kidini. TZ haikuwa na mambo haya Chuki za Kidini. Sasa hivi mmekuja kulata hii chuki.

Hivi wewe unafaidika na nini ktk mfarakano na Chuki za Kidini?

Kwa nini Article zako nyingi ni kuhusu Waislamu? na zote zimejaa Chuki za Kidini?
 
Kwahiyo hapa mnaongelea uislamu na uyahudi??
Im out, nilifikiri mnataka kuongelea economic development...employment n.k.
 
Hizi sio tuhuma za leo ni siku nyingi sana, nakumbuka Marehem Mfalme Fahd alijibu: "Ikiwa kuna maskini wa kuomba omba Msaudi, basi huyo itakuwa si mzima au ni mvivu kupita kiasi".

Nakubali maneno yake kwani Wasaudi wote, nyumba bure, kusoma bure na kama huna uwezo wa kula unakwenda jiandikisha "Bait l'mal" na unapewa mshahara kila mwezi.

Wengi wa wanaoomba Saudia wanakuwa si Wasaudi.
Mimi binafsi nimeshakutana na kijana wa Kiburundi mwanzoni wa 90's-yeye alipata kuisha Saudia,katika mazungumzo yetu alisikitika kuwa maisha yamebadilika Saudia na nilipomuuliza ulikuwa unafanya kazi kani? Sikuamini alipo nijibu "Mimi nimerudi fresh kwa kuomba Saudia"

Na nimeshawahi kumpa pesa ombaomba haikuwa saudia lakini, na maeneo niliompa pesa Ombaomba kuna mzee ana ofisi ya kubadilisha Pesa baada ya yule ombaomba kuondoka,yule mzee akaniuliza kwa nini nimempa pesa yule mtu,nikamwambia ni kwa sababu za kibinadamu then akaniuliza wewe kwa siku unapata kiasi gani.Sikuwa tayari kumwambia then akaniambia maana ya swali lake ni kuwa yule ombaomba kila jioni hupita ofisini kwake kubadilisha coins na ana hakika kipato changu hakifiki hata nusu ya yule ombaomba.
 
hizi sio tuhuma za leo ni siku nyingi sana, nakumbuka marehem mfalme fahd alijibu: "ikiwa kuna maskini wa kuomba omba msaudi, basi huyo itakuwa si mzima au ni mvivu kupita kiasi".

Nakubali maneno yake kwani wasaudi wote, nyumba bure, kusoma bure na kama huna uwezo wa kula unakwenda jiandikisha "bait l'mal" na unapewa mshahara kila mwezi.

Wengi wa wanaoomba saudia wanakuwa si wasaudi.

ok wanakwenda saudi kupeleka profesional mpya je wapongo huko hawapo mitaani
 
We are talking about the poverty of Saudi Arabia where your Allah lives.


Soma hii story uone ndugu zako wanavofanya kazi


[h=1][/h]

New Jersey Mayors, Jewish Rabbis Allegedly Trafficked Knock-Off Gucci Bags With Laundered Money

[h=3]By AMIR EFRATI, SUZANNE SATALINE and DIONNE SEARCEY[/h]New Jersey has never been short of corruption scandals, but the one that unfolded yesterday was surprising even by the standards of the state that inspired "The Sopranos."


David Bergeland, The Bergen Record/ Associated PressSecaucus Mayor Dennis Elwell boarded a bus at the FBI building after being taken into custody in Newark.





Federal agents swept across New Jersey and New York on Thursday, charging 44 people -- including mayors, rabbis and even one alleged trafficker in human kidneys -- in a decadelong investigation into public corruption and international money laundering.
The key to the investigation: a real-estate developer who became an informant after being arrested on bank-fraud charges in 2006, according to a person familiar with the case. The developer, Solomon Dwek, wore a wire for the Federal Bureau of Investigation while offering to bribe New Jersey mayors and other public officials, that person said.
A lawyer for Mr. Dwek didn't respond to requests for comment.
While the state has a long history of dirty politics -- in Newark alone, three ex-mayors have been convicted of crimes unrelated to the latest sweep -- the scale of the allegations shocked veterans of New Jersey's political crises.
"This is not only a black eye, but this fans more cynicism," said Gene Grabowski, a crisis manager who has represented New Jersey clients in graft probes. "It validates this idea that New Jersey is a setting for 'The Sopranos.'"
P1-AQ811_NJBUST_D_20090723181501.jpg
Associated PressA group of unidentified men are walked outside FBI offices Thursday in Newark, N.J., to a waiting bus for transport to court hearing. Federal agents swept across New Jersey on Thursday, charging 44 people in an investigation into public corruption and international money-laundering.



[h=3]More[/h]

Court documents read like a pulp crime novel. At one point, Mr. Dwek (described as a "cooperating witness" in criminal complaints) is quoted saying to an alleged money-launderer: "I have at least $100,000 a month coming from money I 'schnookied' from banks for bad loans."
Another time, Mr. Dwek gave one of the alleged co-conspirators a box of Apple Jacks cereal stuffed with $97,000 cash, the documents say.
The arrests in the public-corruption portion of the probe included the Democratic mayors of Hoboken and Secaucus, Peter Cammarano III and Dennis Elwell; Republican state Assemblyman Daniel Van Pelt; and Democrat Leona Beldini, the deputy mayor of Jersey City.
A woman who picked up the phone at Mr. Van Pelt's office said, "Mr. Van Pelt was arrested today and is out of the office." His lawyer declined to comment.
Mr. Cammarano's lawyer said he "intends to plead innocent because he is innocent."
After her court appearance, Ms. Beldini said she didn't violate taxpayers' trust and declined to comment further while leaving the courthouse. Mr. Elwell and his lawyer declined to comment.
[h=3]Journal Community[/h]
— Mitch Tedeschi

Arrests on the investigation's money-laundering side include several rabbis in New York and New Jersey, said Ralph Marra Jr., acting U.S. attorney for New Jersey. The arrestees appeared in federal court in New Jersey Thursday afternoon.
Corruption among the politicians was "a way of life," Mr. Marra said. "They existed in an ethics-free zone."
The probe includes a bizarre sideshow: the alleged trafficking of human kidneys, a lucrative, illegal industry and not one that's typically showcased alongside political shenanigans.
In the course of the investigation last year, Mr. Dwek came into contact with an alleged organ trafficker, Levy Izhak Rosenbaum, and told him Mr. Dwek's uncle needed a new kidney, according to court papers. The two men discussed how Mr. Dwek would pay a $160,000 fee to buy a kidney from a donor in Israel, documents show. According to the complaint, Mr. Rosenbaum described himself as a "matchmaker."
Mr. Rosenbaum couldn't be reached for comment. A person who answered the phone at his residence declined to comment.
This federal investigation grew out of two previous cases and dates back to 1999, according to the FBI. It culminated at 6 a.m. Thursday with more than 200 FBI and Internal Revenue Service agents making arrests and executing search warrants throughout the state, said Weysan Dun, special agent in charge of the FBI's Newark office.
In all, 29 people were caught up in the public-corruption part of the probe. Fifteen were implicated in the investigation into money laundering, including Mr. Rosenbaum, who was charged with conspiring to broker the sale of a kidney.
Court documents quote a number of incriminating wiretap recordings involving New Jersey politicians -- some prominent names, others known only in their small communities. For example, according to court documents, on April 27, FBI agents caught an incoming call from former Jersey City council candidate Guy Catrillo to a consultant's cellphone. The consultant asked Mr. Catrillo: "Did you get the money from [Mr. Dwek] when we saw him the other day?"
Mr. Catrillo replied: "Yeah, I took care of that. Yeah."
Mr. Catrillo's office didn't answer the phone Thursday.

A New Jersey corruption scandal so big, those arrested are taken by the busload. More than 40 people were taken into custody, including assemblymen, mayors, citizens and even rabbis. Video courtesy of Fox News.


[h=3]Looking Back[/h]Journal articles on organized crime in the late 1960s and early 1970s.

Mr. Dwek, a 36-year-old religious-school head and philanthropist from Monmouth County, N.J., was at the heart of the investigation. He began his career as a small-time real-estate developer whose investors included friends and relatives in the Syrian Jewish community. Three years ago he was charged with defrauding PNC Bank of $25 million and remained free on a $10 million bond.
In 2007, Mr. Dwek began working for the FBI, wearing a wire and being trailed by FBI agents who videotaped his encounters with targets of their probe, according to someone familiar with the matter and information in the complaints. Prosecutors said the alleged bribe-taking was often tied to election fund-raising efforts. Other recipients took cash for direct personal use, prosecutors allege.
In the case involving Mr. Cammarano, who became Hoboken mayor on July 1, he was charged with accepting $25,000 in cash bribes from Mr. Dwek in return for promising support for zoning changes for a high-rise Mr. Dwek said he wanted to build. Mr. Cammarano is so new to the mayor's job that an events poster outside his office still lists the name of the previous mayor, David Roberts, on it.
The alleged bribes occurred during the 32-year-old Mr. Cammarano's mayoral campaign earlier this year, according to the FBI's complaint.
According to the complaint, Mr. Cammarano assured Mr. Dwek, that "[y]ou can put your faith in me" and that "I promise you...you're gonna be, you're gonna be treated like a friend."
Supporters of the mayor expressed dismay at the charges. "This was a charismatic guy who we thought could get us past all this stuff," said Jay Rose, a 27-year resident of Hoboken who voted for Mr. Cammarano. "It looks like we're back to square one."
In the FBI money-laundering probe, Mr. Dwek represented himself as someone who engaged in various illegal businesses, including bank fraud and counterfeiting of women's handbags. "Business is very good. Prada, Gucci, boom, boom, boom," Mr. Dwek boasted at one point, according to court papers.
The alleged money-laundering operations -- most of them run by rabbis as religious charity organizations -- laundered about $3 million for Mr. Dwek in his capacity as a cooperating witness since June 2007, according to the court documents and a person familiar with the matter. Mr. Dwek likely will receive credit from federal prosecutors for his cooperation.
P1-AQ809B_NJBUS_NS_20090723193340.gif



The prosecutors allege that the rabbis used nonprofit organizations connected to their synagogues to launder money they understood came from criminal activity.
In 2007 Eliahu Ben Haim, principal rabbi of Congregation Ohel Yaacob, a synagogue located in the New Jersey shore community of Deal, accepted a $50,000 check from Mr. Dwek, which was drawn from an account held by a phony company set up by the FBI for Mr. Dwek to help facilitate the investigation, according to the complaint.
The check was made payable to one of Mr. Ben Haim's charitable organizations with the expectation that the proceeds would eventually be returned to Mr. Dwek, documents indicate; Mr. Ben Haim, who was charged with money laundering on Thursday, was to take a 10% fee.
A woman who answered the phone at Ohel Yaacob Congregation in Deal said, "I don't have anything to say." Michael O'Donnell, Mr. Ben Haim's lawyer, declined to comment.
The arrests place an added burden on Gov. Jon Corzine, a Democrat in his first term who is running for re-election this year. Mr. Corzine ran four years ago promising to quash corruption. "The scale of corruption we're seeing as this unfolds is simply outrageous and cannot be tolerated," he said in a statement.
In Hoboken, a city of just less than 40,000, city-clerk employees at the municipal building huddled around a small television to watch the news conference announcing the charges.
Some residents there said they weren't so surprised. "It happens everywhere in New Jersey," said James Goggin, a Hoboken resident. "I'll tell you one thing -- it never gets boring here. But sometimes I wish it would."
—Chad Bray, Robert Copeland, Chris Herring, Lucette Lagnado, Barbara Martinez and Steven Russolillo contributed to this report.Write to Amir Efrati at amir.efrati@wsj.com, Suzanne Sataline at suzanne.sataline@wsj.com and Dionne Searcey atdionne.searcey@wsj.com




 
Soma hii story uone ndugu zako wanavofanya kazi




New Jersey Mayors,



Your post is out of topic. We are talking about the poverty of Saudi Arabia, et al.
bbc_specific_990000.gif
o.gif
1.jpg

o.gif

Living conditions for the migrant workers can be overcrowded - one camp housed 7,500 labourers in 1,248 rooms with poor ventilation

 
Jamani tuangalie na kurefer kwenye original thread. Inaenda kama vile inachakachuliwa..
 
Jamani tuangalie na kurefer kwenye original thread. Inaenda kama vile inachakachuliwa..
Mkuu humu kuna watu wamepinda ukitaja uarabu basi km umepiga jiwe mzinga wa nyuki,utasakamwa wewe!! kuna vitu vingine ni very simple lakini kitapotoswa na mwisho ya yote utaona wachangiaje wanaanza kutukanana.lakini tuchukuliane kwenye wengi kuna mengi,malezi,makuzi,ustaarabu.
 
Back
Top Bottom