Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

Mkuu humu kuna watu wamepinda ukitaja uarabu basi km umepiga jiwe mzinga wa nyuki,utasakamwa wewe!! kuna vitu vingine ni very simple lakini kitapotoswa na mwisho ya yote utaona wachangiaje wanaanza kutukanana.lakini tuchukuliane kwenye wengi kuna mengi,malezi,makuzi,ustaarabu.

Inaweza ikawa kweli,maana sijafanya uchunguzi. Na je unaongeleaje waarabu wa Syria na Yemen? Ambako serikali za huko zinaua waandamanaji kama nini sijui!
 
Inaweza ikawa kweli,maana sijafanya uchunguzi. Na je unaongeleaje waarabu wa Syria na Yemen? Ambako serikali za huko zinaua waandamanaji kama nini sijui!
Hapa mkuu naongelea waarabu kwa jumla wa Syria/Saudia/Qatar et....na pointi yangu ni kuwa Unapoongelea Uarabu kwa issue yeyote ile ndio yatatokea au kusemwa usiyo yategemea kwa sababu humu JF uarabu ni Uislam...Yale yanayotokea Syria,Yemen ni vigumu kupata picha kamili kwa nini inakuwa vile,yule wa Yemen nchi za Magharibi zinamuhitajia pale aking'oka Ali Abdullah Saheh litakuwa chaka la Al Qaeda na Syria Ki-geography yupo ubavuni mwa Israel kama wakiwasha moto pale madhara yake ni makubwa..na siasa za mashariki ya kati ni kizungu ukuti..kwa nini ya Bahrain yalizimwa? na yale ya Lybya yalichochewa? maswali mengi kuliko majibu.
 
mkuu maswali mengi mno yapo lkn majibu huwa hatuna! libya sababu kuu ni mafuta.yemen syria hakuna mali lkn maslahi yapo kwa vigezo tofauti.
 
You can add Greek and Latin.

Why so many poor people in Saudi Arabia?

mkuu jew.tumeshajibu hapo juu kuwa wengi sio wasaudi.uka post kuwa saudi are racist, dada faizafoxy akasema nani sio racist. kila taifa linamapungufu naamini hata israel imewanyima haki palestina saaaaaaaaaaana.hasa kwenye maji na makazi yao.je nikisema israel ni racist nitakuwa nimekosea bwana jew?

naona we unataka kusema kwenye post zako kuwa israel ni perfect peke yake.
 
Your post is out of topic. We are talking about the poverty of Saudi Arabia, et al.
bbc_specific_990000.gif
o.gif
1.jpg

o.gif

Living conditions for the migrant workers can be overcrowded - one camp housed 7,500 labourers in 1,248 rooms with poor ventilation

So sad, why go there if life is like this?
 
wa hapa nchini ni Shiites,si ndiyo?ambayo inapatikana huko nchi za kiarabu. Bohora nao wanapatikana nchi gani Uarabuni? Ukiondoa Sunni[ndiyo Answar Sunni ama la] na Shia,pana madhehebu gani mengine makubwa ya Kiislamu?na yamebase zaidi nchi gani?
 
Back
Top Bottom