Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

Katika maeneo yote ya hija kuna vyoo vingi na vya kutosha,vingi viko chini ya ardhi.Kila baada ya muda mfupi wanapita wasafishaji.
Kikawaida mahujaji huvaa makanda ili kuhifadhi vitu vyao muhimu kama simu,pasi ya kusafiria na pesa.Unapoingia chooni kujisaidia unaweza ukatundika hilo kanda ili ujisaidie vizuri.Ukitoka unaweza ukalisahau na ukienda masafa mafupi tu usijuwe ni choo gani ulichoingia.Wasafishaji wakipita huwa hawana muda wa kupekuwa kuona kuna nini.Hata kukiwa na dola 2000 wanabeba na kuweka kwenye gari la takataka.Vibaka na wale waliozoea vya bure hawawezi kuamini hili.
.
images
 
Ami nasikia hiyo avator ni picha yako halisi...hilo timbwili lilitokea kitaa cha wapi?
 
Vp lakini inawezekana Wamarekani Milioni 60 hawana uwezo wa kununua chakula cha kuwatosha? Unable to buy enough food..!
 
About 60 million Americans are UNABLE to Buy ENOUGH FOOD!! Source: Press TV , Iran
 
Back
Top Bottom