Sasa wezi wa mabwana kukiona

Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...

Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol

Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?
 
Jamani huyu Laura Pettie namjua vizuri sana. Facebook anatumia hilo hilo jina na ana blog yake ina hilo jina. She just wrote this for funny mara nyingi tu anaandikaga vichekesho. Sidhani kama kuna watu wamemchukulia serious kivile. Hakuna kundi kama hilo dada huyu alichangamsha baraza ndio ghafla meseji ikapendwa ikasambazwa
 
Haya makundi yapo wewe...mimi mwaka jana nimesikia live Clouds kipindi cha Dinna...Gea Habib alikuwa anarusha msuto mmoja maeneo ya mabibo...vipo sana hivi vikundi...

Najua sana vipo but the way watu wanavyosoma hii ni kama hiki kitu kilichoandikwa hapa kipo walati hii laurapettie si kweli hiki kilichoandikwa kiliandikwa kwa minajili ya kuchekesha tu
 
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...

Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol

Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?

Hahahaaa...hiyo naikumbuka, yule msutwaji alikuwa kapinda....alidai vigauni vyake..hahaaa...msute apate lakini na chake apewe...
 
nakuambia kwanza unashtukizwa we hujui hili wala lile saa ngap utajiandaa kuvunja miguu? na raia watakavyokua wengi utafurukuta kwa nani hahaha

mmmh hapo ni kutoka mbio bila kugeuka nyuma... ntawaachia viatu tu ka mtaweza kuongea navyo lol!!!
 
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...

Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol

Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?

hahahha don tel me uwii
 
huo wa keki mzur aiseeee mixer kibantu hahahaaaaaaa na lafudhi yetu hii sijui inakuaje hapo
 
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...

Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol

Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?

hahahahaha mswutaji nae walimkuta kauzu lol
 
Back
Top Bottom