nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,377
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...
Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol
Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?