Sasa nahama CCM

Mabox tupu mtoa mada na wanaomuunga mkono ni ubongo wa mayai ya kichina, mnamshangilia mtu ambae 100% atakuwa anafuata amri za waliomtuma, sisi tunataka kusikia ela zatu zimerudi na na wezi wote akiwemo huyo mwenyekiti wenu yupo ukonga shenzi type
 
Nimekuwa mwanachama mfu wa CCM kwa muda mrefu, hasa baada ya kuchoka kuishi katikati ya uozo wa kisiasa ndani ya chama hicho. Nimekuwa nikisita sita kwa kuwa sikuwa na uhakika kama kweli vyama vya upinzani viko 'serious'.

Nilikuwa nasubiri kuvipima kwenye matukio mazito maana bila matukio mazito kila kimoja kilionekana chama cha upinzani. Leo hii baada ya matukio mazito ikiambatana na baadhi ya vyama kupewa rushwa ya madaraka na CCM, ndipo imethibitika kuwa kuna chama kimoja makini cha upinzani nchi hii.

Baada ya leo hii CHADEMA kufanya tukio la kishujaa bila kujali kwamba watakosa madaraka haya au yale bali kwa kuweka maslahi ya haki ya wapiga kura wa Tanzania mbele, sasa nimeamua rasmi kuhama CCM na uanachama wangu mfu na sasa nahamia CHADEMA.

Ninahama na kundi la wapiganaji zaidi ya hamsini tulio kwenye maeneo nyeti sana katika nchi hii.

Buriani CCM, Buriani CUF, Buriani wasaliti wote.


NIMERUDI CCM

Ni kwa sababu ya kuridhika na Team iliyochaguliwa kuongoza CCM 2012 - 2017. Na hasa Philip Mangula. CCM OYEEEEEE!!!!!!!

CCM ni chama sikivu, Mwenyekiti na viongozi wenzake wamesikiliza vilio vya wananchi, CCM imerudishwa kwa wananchi, wajumbe wa NEC tumewachagua tokea vijijini kwetu, kwenye matawi yetu, hata wanyonge tumeshirikishwa kuongoza nchi. Na sasa wakulima wenzetu kina Mangula wako kwenye uongozi. Kwa hekima ya ajabu ya mwenyekiti, ufisadi umebomolewa kabisa, na sikutegemea kabisa kama Jakaya Kikwete angeweza lakini ameweza.

Nyinyi mnaobisha ni kwa sababu mnasimuliwa mambo, mimi nayaona kwa macho yangu. Mimi kamwe sitaingia kwenye uongozi wa siasa na hivyo sina tabia ya kujipendekeza kwa kutaka uongozi. Mimi nina kazi yangu binafsi isiyohitaji kubebwa na mtu na inanitosha, ila sikuzaliwa mtanzania ili kukodolea macho watu wanaoharibu Taifa hili. Hilo siwezi kulikubali kamwe.

Ukweli ni kuwa chini ya uongozi wa Jakaya Kikwete, nilifika mahala nikadhani amekuwa msaliti, sikujua kuwa mbinu zake za kuipigania nchi hii zilikuwa za hali ya juu mno. JK ni kama mchora picha mahiri ambaye anapoanza kuchora unaweza kudhani kuwa anaharibu lakini akimaliza ndiyo unaona picha kamili, picha nzuri, picha iliyojaa ushindi kwa watanzania.

Kwa kweli umahiri wa JK umenifanya nirudi CCM huku nikiona aibu kubwa kwa kumhukumu kiasi cha kumtukana na kumtakia mabaya na kumbe yeye alikuwa akifanya mema kwa ajili ya nchi hii. Furaha niliyo nayo inaizidi aibu niliyo nayo kwa kumchukia bure mtetezi wa kweli wa Taifa langu.

CCM ni chama sikivu, ni chama cha wanyonge. CHADEMA ni chama cha siasa kali, fikira mgando. Ndani ya CHADEMA namewaona watu wachache sana wa maana, mfano Zito Kabwe na Shibuda . Wengine wote ni watu ambao hawataki kufikiri; yaani hata jambo likiwa kwa manufaa ya taifa ili muradi linatoka CCM wao wanalipinga tena hata bila kuboresha.

CHADEMA hawana uwezo wa kutoa hoja bila kuchonganisha wananchi na serikali yao. Kuna watu CHADEMA wanatamani kuhamia Syria au Somalia kwa sababu ya kupenda vita. CHADEMA wanatamani kuingia Ikulu kwa uongo na kwa wale wanaodhani kuwa CHADEMA ni chama cha wakatoliki hiyo siyo kweli, hawa wengi wao ni freemasons, wazee wa ma'casino', watoa kafara mikutanoni wakihakikisha damu inamwagika ili wananchi waone polisi wanaua kumbe wao wametoa kafara kwa mashetani.

CCM pekee ndiyo chama chenye kuweka maslahi ya Taifa mbele.

CCM DAIMA!!!!!!!
Huyu ni MALAYA wa SIASA wako wengi na wengine ni OPPORTUNISTS mafisi wanatafuta mfupa ulipodondokea!! Unatafuta vilivyojengwa kwani wewe huwezi kujenga KENGE KATKA MAMBA wahead!! mko wengi kama vipepeo mnafurushwa na upepo tu. You are weightless so every small wind can blow you away!! SHAME!
 
Back
Top Bottom