mi mawazo yangu yapo tofauti kidogo hii simu si nzuri kama android nyengine kwa baadhi ya specific ni ndogo nimepitia website yao ntafanya analysis kidogo japo si mtaalam sana
display
Si nzuri ina 262k color (k ni 000) wakati simu za kawaida nyingi zina 16m color resolution ni 320x240
music and sound
Hapa ipo poa inakubali miziki ya aina nyingi kama mp3, aac na amr pia utaweza download player kama imemiss kitu
network
Hapa ipo poa ina 3g na edge na ina speed mpaka 3.6 mbps (450 kbps) hio ndo itakua speed ya mwisho
camera
Hapa naona haipo vizuri ina 2 megapixel simu ndogo ndogo sku hizi zina 3.2 i wonder why wameeka hivi
battery hapa ipo poa kwa edge utaongea dakika 950 na ukiwa 3g dakika 360 vile vile standby (simu inawaka bila kutumiwa) ni masaa 520 kwa edge na 450 kwa 3g
video player na video calling
Sjaona option ya video calling na video player inakubali 3gp na sjaona mp4 ila kuhusu video player unaweza download player ikaplay codec nyengine
Nakushauri kama huna matumizi makubwa ya simu labda unapenda mauzo na matumizi madogo tu nunua
Ila kama una matumizi makubwa hii si simu inayokufaa