Simu yangu ya samsung a 71 naomba msaada

Quimica

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,029
1,254
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja , nikaitumia Ikaja kudondoka mwez wa kwanza mwaka Huu ikapasuka kioo nkabadilisha Japo ilikuwa ghali Nlijitahidi kwa pesa za boom ,

Sasa kioo kikabadilishwa simu ikawa shwari kabisa Sasa Kama Inavyojulikana A71 ilikuwa na android version 10 U.I 2.5 ikatoka update mpya mwez wa nne nkaamua kuapdate ili nipate Android version 11 U.I 3.1 ambayo imeongezwa Fixtures kibao ,sasa baada ya kuiupdate ikaanza kuzingua line moja ambayo ilikuwa ya Halotel ,by then Ikazingua na

Line ya Pili ya TTCl nayo ikazngua ,ikawa haisomi Line yeyote hile inaandika No network Connection
Nkaamua kupeleka kwa fundi Cha maeneo ya kariakoo ,fundi akaangaika nayoo weee mwisho ikamshinda Hila akaniambia "Itakuwa Imekufa machine Jaribu kwenda samsung house "
Nkaenda Samsung house nkawaachia simu pale wakanipa form ili nkija kesho wanitambue ,sasa kesho nlipoenda wakaniambia simu yako imekufa machine (IC ya internet)inabidi uibadilishe Ambapo ni 600k hila sababu simu ipo kwenye warrant tutakufanyia 300k ulipie kidogokidogo itaagizwa from China ,nkachukua simu nkakimbia Sababu hiyo pesa

Nlikuwa sina Kabisa ,Yeyote mwenye anayejua Namna yakuirekebisha Msaada plz au anayemjua fundi ambaye Ntaweza Pata machine ya Samsung galaxy A71 kwa bei nafuu aniDM
Njia zote za Youtube za kucorrect nimejaribu nimeshindwa na Sitamani kuiuza kwa Bei ya hasara sababu nilinunua Ghali
 
Habari zenu wakuuu,hope ni wazima wa afya !!kama kichwa cha habari kinavyosema ,nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ,nikaitumia Ikaja kudondoka mwez wa kwanza mwaka Huu ikapasuka kioo nkabadilisha Japo ilikuwa ghali Nlijitahidi kwa pesa za boom ,Sasa kioo kikabadilishwa simu ikawa shwari kabisa Sasa Kama Inavyojulikana A71 ilikuwa na android version 10 U.I 2.5 ikatoka update mpya mwez wa nne nkaamua kuapdate ili nipate Android version 11 U.I 3.1 ambayo imeongezwa Fixtures kibao ,sasa baada ya kuiupdate ikaanza kuzingua line moja ambayo ilikuwa ya Halotel ,by then Ikazingua na Line ya Pili ya TTCl nayo ikazngua ,ikawa haisomi Line yeyote hile inaandika No network Connection
Nkaamua kupeleka kwa fundi Cha maeneo ya kariakoo ,fundi akaangaika nayoo weee mwisho ikamshinda Hila akaniambia "Itakuwa Imekufa software Jaribu kwenda samsung house "
Nkaenda Samsung house nkawaachia simu pale wakanipa form ili nkija kesho wanitambue ,sasa kesho nlipoenda wakaniambia simu yako imekufa software inabidi uibadilishe Ambapo ni 600k hila sababu simu ipo kwenye warrant tutakufanyia 300k ulipie kidogokidogo itaagizwa from China ,nkachukua simu nkakimbia Sababu hiyo pesa Nlikuwa sina Kabisa ,Yeyote mwenye anayejua Namna yakuirekebisha Msaada plz au anayemjua fundi ambaye Ntaweza Pata software ya Samsung galaxy A71 kwa bei nafuu aniDM
Njia zote za Youtube za kucorrect nimejaribu nimeshindwa na Sitamani kuiuza kwa Bei ya hasara sababu nilinunua Ghali
wait nitafte Alf ntakujuza Mpendwa
 
Habari zenu wakuuu,hope ni wazima wa afya !!kama kichwa cha habari kinavyosema ,nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ,nikaitumia Ikaja kudondoka mwez wa kwanza mwaka Huu ikapasuka kioo nkabadilisha Japo ilikuwa ghali Nlijitahidi kwa pesa za boom ,Sasa kioo kikabadilishwa simu ikawa shwari kabisa Sasa Kama Inavyojulikana A71 ilikuwa na android version 10 U.I 2.5 ikatoka update mpya mwez wa nne nkaamua kuapdate ili nipate Android version 11 U.I 3.1 ambayo imeongezwa Fixtures kibao ,sasa baada ya kuiupdate ikaanza kuzingua line moja ambayo ilikuwa ya Halotel ,by then Ikazingua na Line ya Pili ya TTCl nayo ikazngua ,ikawa haisomi Line yeyote hile inaandika No network Connection
Nkaamua kupeleka kwa fundi Cha maeneo ya kariakoo ,fundi akaangaika nayoo weee mwisho ikamshinda Hila akaniambia "Itakuwa Imekufa machine Jaribu kwenda samsung house "
Nkaenda Samsung house nkawaachia simu pale wakanipa form ili nkija kesho wanitambue ,sasa kesho nlipoenda wakaniambia simu yako imekufa machine (IC ya internet)inabidi uibadilishe Ambapo ni 600k hila sababu simu ipo kwenye warrant tutakufanyia 300k ulipie kidogokidogo itaagizwa from China ,nkachukua simu nkakimbia Sababu hiyo pesa Nlikuwa sina Kabisa ,Yeyote mwenye anayejua Namna yakuirekebisha Msaada plz au anayemjua fundi ambaye Ntaweza Pata machine ya Samsung galaxy A71 kwa bei nafuu aniDM
Njia zote za Youtube za kucorrect nimejaribu nimeshindwa na Sitamani kuiuza kwa Bei ya hasara sababu nilinunua Ghali
Inaandika hvyo na hapo Juu inabaki alama ya line kutokusoma
20210527_220125.jpg
 
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja , nikaitumia Ikaja kudondoka mwez wa kwanza mwaka Huu ikapasuka kioo nkabadilisha Japo ilikuwa ghali Nlijitahidi kwa pesa za boom ,

Sasa kioo kikabadilishwa simu ikawa shwari kabisa Sasa Kama Inavyojulikana A71 ilikuwa na android version 10 U.I 2.5 ikatoka update mpya mwez wa nne nkaamua kuapdate ili nipate Android version 11 U.I 3.1 ambayo imeongezwa Fixtures kibao ,sasa baada ya kuiupdate ikaanza kuzingua line moja ambayo ilikuwa ya Halotel ,by then Ikazingua na

Line ya Pili ya TTCl nayo ikazngua ,ikawa haisomi Line yeyote hile inaandika No network Connection
Nkaamua kupeleka kwa fundi Cha maeneo ya kariakoo ,fundi akaangaika nayoo weee mwisho ikamshinda Hila akaniambia "Itakuwa Imekufa machine Jaribu kwenda samsung house "
Nkaenda Samsung house nkawaachia simu pale wakanipa form ili nkija kesho wanitambue ,sasa kesho nlipoenda wakaniambia simu yako imekufa machine (IC ya internet)inabidi uibadilishe Ambapo ni 600k hila sababu simu ipo kwenye warrant tutakufanyia 300k ulipie kidogokidogo itaagizwa from China ,nkachukua simu nkakimbia Sababu hiyo pesa

Nlikuwa sina Kabisa ,Yeyote mwenye anayejua Namna yakuirekebisha Msaada plz au anayemjua fundi ambaye Ntaweza Pata machine ya Samsung galaxy A71 kwa bei nafuu aniDM
Njia zote za Youtube za kucorrect nimejaribu nimeshindwa na Sitamani kuiuza kwa Bei ya hasara sababu nilinunua Ghali
Hio laki 3 wanataka wakupige, hakuna kitu kama hiki eti Sababu simu ipo kwenye warranty ulipe laki 3. Kama Hilo tatizo lipo covered kwenye warranty hutakiwi kulipia hata sh 10, maana ya warranty ni nini? Na wao wameajiriwa kwa kazi gani?

Sijaangalia vizuri mkataba wa warranty ila kwa kutumia tu akili ya kawaida si kosa lako update ama simu yenyewe kupoteza network.

Kioo alikutengenezea nani? Kama sio Samsung wenyewe kufungua simu umeshavunja warranty bila ruhusa yao.

Sema unaweza ukapotezea, jifanye kama hujabadili kioo, tafuta namna waitengeneze bure si kosa lako Hilo.
 
Nilipeleka kwa fundi na wameona hila waliniambia hvyo
 
Fanya hard reset afu custom downgrade to android 10 u check mambo

Back
Top Bottom