Samsung A32 5g korean version kukataa network za bongo

MASTERCHIEF 255

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
425
859
Habari,

Nina sumsung A32 5g
inaandikwa kt network

Ukiweka SIM card ya tigo inaandika

Limited service

Haikubali kusoma line za bongo

Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
 
Mie nimekutana na tatizo kama hilo google pixel 4a 5g yaani haisajili google ili niweze ku access internet.
Kinsingi hizi simu kabla hujaitumia ni vyema ukajaribisha kila kitu pale pale.

Labda jaribu kuchagua 4g japo mie iligoma bado.
 
Habari,

Nina sumsung A32 5g
inaandikwa kt network

Ukiweka SIM card ya tigo inaandika

Limited service

Haikubali kusoma line za bongo

Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
5G kuna baadhi ya mitandao yetu haina. 4G yenyewe inasumbua baadhi ya maeneo
1. Weka Auto / 3G uone km itashika au 4G
2. Angalia km simu ni ya kampuni ya simu huko ilikotoka. Mfano. Kuna baadhi ya simu zinauzwa na makampuni ya simu kwahiyo ili utumie inahitaji unlock kwanza.
3. Piga *102# au menu yoyote ya hapa Tanzania km inaleta maana kuna zingine zinagoma ku-run baadhi ya SSID Command km tigo pesa, mpesa, huduma za kununua vifurushi km *149*99#, *149*01#, *148*00# au *148*66#
4. Km namba 3 inagoma basi flash kwa global / international firmware.
 
ndioo hii simu ni ya kampuni ya korea..
ishapigwa file/flash ila bado ttzo lipo pale pale
 
Naomba na mm nisaidiwe wapendwa,sim yangu sms ndefu haitaki kuwa sent.Sms iksha kuwa ndefu haikubali kwenda.Sim ni Samsang A31
 
ndioo hii simu ni ya kampuni ya korea..
ishapigwa file/flash ila bado ttzo lipo pale pale
Ku-flash simu wakati mwingine siyo njia ya kutoa tatizo.
Kama ameflash simu kwa kutumia flash file la kampuni hiyo hiyo inaweza kuondoa tatizo?
Ili uweze kutatua tatizo lazima uangalie simu inatatizo gani kwanza
Angalia comment yangu katika hivyo vipengele, shida ni nini? Umejaribu kuweka laini za mitandao mingine nayo ni hivyo hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom