Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,392
- 33,045
Kupingana mitazamo ndiyo ugomvi?
Last edited by a moderator:
Ndg Ritz, umesoma contents za hizo links zilizowekwa kwe post ya kwanza kumhusu huyu jamaa?
Hiyo sheria ya wapi au fikra zako una uhakika gani na unachokisema hakuna anayejua tuwe na subira tutasikia mengi.
Umetaja mtu kupigwa risasi kwa sababu tu unamchukia kama una ushahidi wowote kuhusu huyu jamaa basi visaidie vyombo vya dola.
Kwa hiyo wewe mtu akiwa mkorofi apigwe risasi ndiyo dawa.
Kupingana mitazamo ndiyo ugomvi?
Wewe mama ulipotelea wapi? nilikumiss sana.
Mh naona umeamua kutoa ya moyoni,Ukweli ni kuwa jinsi Said Mahonda alivyo na kibri na dharau, amejijengea maadui wengi sana katika maisha yake.
Kuna malalamiko mengi kutoka wafanya kazi wake, wafanya biashara wenzake na hata wateja wake. Tatizo lake kubwa ni kuwa kaweka pesa mbele, na hudhani kuwa pesa ndio kila kitu.
Aisee! Ile 'mall' ya jirani na ubalozi wa Marekani imefunguliwa? Au ni yake?
Tena hapo wamemhurumia wangemtoa kisamvu cha kopo kabisa na picha zikawekwa humu,baasi,halafu hata mwezi wa Ramadhani hauoni?Mke wa mtu ni sumu. Wakuu nimepewa habari kutoka kwa wahusika wa ndani, kisa kikubwa ni kwamba huyu tajiri alikuwa anamega mke wa mtu.
Mh hamy- d mbona hamjaanza na mafisadi wenzenu pale Lumumba?kumbe mnapenda kushughulikia wenzenu tu,toeni boriti zenu na nyie!Wakuu,
Kwa muona wangu nadhani huyo kijana aliyemfanyia huyo mfanyabiasha hicho kitendo bila shaka atakuwa ameagizwa kufanya hivyo aidha na mahasimu wa Said Mohamad au wafanyabiashara wenzake.
Katika hali kama hiyo, bwana Said akipata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali, kwa historia yake ya kuwa mafia daraja la kwanza nchini, naamini lazima atalipiza kisasi kwa hao atakao wahisi kuwa wenda ndio wamemfanyia hilo tukio la kumwagiwa tindikali.
Rai yangu; huyu bwana Said ilipaswa apigwe risasi eneo ambalo lingempoteza kabisa maisha, ila kwa kuwa akijafanyika hicho, basi jitihada zifanywe za kumuondoa tu duniani ili tuepushe madhara makubwa huku uraiani.
Hata India wamewekeana tindikali wanafikiria kuweka sheria kama ni nani auziwe na nani asiuziwe.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Pole na karibu tena, hiyo ban ilikuwa si mchezo.
hivi tindikali ndo nini wakuu,mi nasikiaga tu chumvi miiingi maji kidogo ndo mixa yake,eti kweli eeeh?
steveachi naona na wewe ni mhanga wa ule mpango wa mungai wa kubadilisha na kufuta masomo ya sayansi na ufundi shuleni,madhara yake ndio haya.Conc. Sulphuric Acid,Nitric Acid,Chromic Acid ni mojawapo ya strong acids. Hukunusa kabisa masomo ya sayansi maishani mkuu?
Mhuu.!!!!
JF bwana.........!!