Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
you must be a hater for real!wewe usimjue Flaviana????who is this lady?
mbona sina records zake kwenye server yangu?
you must be a hater for real!wewe usimjue Flaviana????who is this lady?
mbona sina records zake kwenye server yangu?
aah mashine itakua haitwangi inavyotakiwa maana kadingi hako nae kana viskendo vya kuchovyachovya,najua flavy hapo ni mawenge ya vidoladola tu yanazunguka kichwani sahizi kama kweli kimapenzi sidhani kama yuko hapo.hahahaa i was wondering why is it takinf you so long to comment!!!
shem...muzeee ya maceleb!!! huyo sio babu wala nini, si mashine bado iko sawa sasa uzee unakujaje bana!!!
[/COLOR][/SIZE]
ha ha ha wahi wakwetu seat bado hazijajaa tuchape zetu mwendo kwenda songea kuna neema kule si unajua siku hizi wanaapolo wapo juu ya mawe nchi imeuzwa
nakuja nimefika hapa Oldonyo, landirova linapakia mzigo, niwekee siti tafadhali, songea noti zinaota kama nyasi, sasa tuombe nini tena kwa mola!!
na nikizipata wa kwanza kumnunua ni Masa na aje asafishe kule kwa ng'ombe na kitimoto!!
usishangae watu wengine huwa wanashinda kwenye vilabu vya komoni.you must be a hater for real!wewe usimjue Flaviana????
hahaaaa haya weee.......(nimee-reserve swali langu kwa matumizi ya siku nyingine)Ningekuwa sina Mzenj ningesema I love you, lakini sasa nabaki kusema I like ur smile....
aah mashine itakua haitwangi inavyotakiwa maana kadingi hako nae kana viskendo vya kuchovyachovya,najua flavy hapo ni mawenge ya vidoladola tu yanazunguka kichwani sahizi kama kweli kimapenzi sidhani kama yuko hapo.
usishangae watu wengine huwa wanashinda kwenye vilabu vya komoni.
wewe kama unamfahamu mwingine hamfahamu
watu hawamjui waziri wa miundo mbinu ije kuwa flaviana???
Flaviana Matata si ndio yule mshindi wa Big Brother Africa?
he heh,duh mkuu kanywe supu kwanza ndo urudi hapaainkiller:Flaviana Matata si ndio yule mshindi wa Big Brother Africa?
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
Kila mtu ana maisha yake,waacheni wa enjoy life yao.mzee russ usimsikilize masanilo "K" haina makombo.
Kila mtu ana maisha yake,waacheni wa enjoy life yao.mzee russ usimsikilize masanilo "K" haina makombo.
ndio maana yake russel sasa anaona kapata mtoto mbichi kabisa toka kijijini yaani wala hana wasiwasi kabsaa.na kweli hii sasa ni zamu yao ....
Duh hapa hatari,kwa nini mtu akifanikiwa usimfie? Yeye mwenyewe kajitafutia riziki yake mpaka kafikia hapo alipo,ni juhudi zake binafsi hata kama akiuza uchi bado ni juhudi zake binafsi,tukubali hapo alipo kawazidi wengi sana kwenye sanaa ya erembo achilia mbali kuwa na huyu Russell,kwanini wabongo tunashindwa kukubali maendeleo ya wenzetu? hasa kina dada?Auze asiuze hayo sio yetu. Alianza TK watu mliongea sana,Jay Dee bado mnamuongea mpaka sasa Hasheem mlimsifia alipoteleza kidogo badala ya kushauri mkaponda na Mungu kamunyanyua tena.Ni lini tutakubali maendeleo ya wengine?Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
hahahaaa Masa utaisoma hiyo.................'haichujuki wala kuruka'
Kila mtu ana maisha yake,waacheni wa enjoy life yao.mzee russ usimsikilize masanilo "K" haina makombo.