Russell Simons is DATING Flaviana Matata?

Mimi sioni tatizo kama wamependana wache wapendane. Mbona Hollywood kuna watu wanafanya vituko vya ajabu itakuja kuwa Flavian. Keep it up Flavian kama ni kazi endelea kutafuta thumuni yako na kuitangaza Tanzania hizo gossip zipo zisikupe shida mdogo wangu ni hali ya maisha.
 
mkuu hiyo iko wazi celebrity wetu mpaka apate jina unakuta mileage kibao zimetembea,ila haka kadada katulivu kiaina bana mi nakazimia na kengine irene kiwia,kidogo vina ustaarabu.

Mkuu Irene Kiwia mwone hivi hivi. Waulize waliyesoma naye UD. Alikuwa anasema wazi kuwa akimtaka mwanaume yeyote lazima ampate. Wakati akisoma UD akaamua kumfukuzia mwalimu wake wa Kifaransa ambaye ni mzungu (Mfaransa) na akamnasa. Akamvisha pete ya uchumba na maandalizi ya harusi yakawa tayari ghafla binti akabadili mawazo na kumfukuzia mzungu mwingine wa kampuni moja ya madini na akamnasa pia. Yule mfaransa wa watu alikuwa frustraed hakuna mfano maaana ndugu zake walishajiandaa kwa harusi na walishaingia gharama kubwa kununua vitu. Labda kama ametulia hii leo, lakini ni moto wa kuotea mbali.
 
Watu wana data!!!!!!!!!!!!! sijui tumweke nani hapa atapita salama. Kumbe TZ ni ndogo sana
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao

basi wanaume wa hivi,ni porojo tu kubwabwaja ndio wenyeweee!ila unashangaa wanakamatika na wale mashankupe kama sio mashangingi....hivi kwa nini??unakuta km huyu masa hapa anaongea kuhusu mileage kibao..lakini unakuta huyo anayetembea naye au aliyemweka kinyumba....ni lile shankupe haswaaaaaaaa....lile you can tell hata kwa kuangalia uso...kuwa liko used!!!

Flavy doesnt deserve any of this ni msichana mrembo decent!!!
 
I doubt this! hizi picha zilitoka kitambo hivi bila hizo news za relationship. Mbona hata mappaparazi wa Entertainment! TV hawajanyaka hii. Naogopa kushiriki kuchafua jina la dugu moja....
 
basi wanaume wa hivi,ni porojo tu kubwabwaja ndio wenyeweee!ila unashangaa wanakamatika na wale mashankupe kama sio mashangingi....hivi kwa nini??unakuta km huyu masa hapa anaongea kuhusu mileage kibao..lakini unakuta huyo anayetembea naye au aliyemweka kinyumba....ni lile shankupe haswaaaaaaaa....lile you can tell hata kwa kuangalia uso...kuwa liko used!!!

Flavy doesnt deserve any of this ni msichana mrembo decent!!!

wANAWAKE used utawajua tu! Pole sana
 
Flaviana Matata.
Dating is bull shit may be marriage, she suppose to force married before she retire, since model came with expiring date.
If she is doing for money, she needs a good business consultant because that man by himself worth a successive brand (net worth of 340 Million USD)
You can imagine if she squeeze a bit into him and request in romantic 21 million USD then Maisha Bora kwa Mtanzania like Mabilioni ya muheshimiwa.
Of course that guy is too old to be loved by our sister, it is a poverty driven relationship.
Nice Job Flaviana bring money home don't spend it all there, with the little money from the guy you can develop a mining i your are shinyanga.
Think what God has made you for.
For your people in Sitimbi.
Remember where you are coming from.
Otherwise baby give him a good https://jamii.app/JFUserGuide.
Kind regards.
Kero
 
yaaani mtu kum date Rusell Simon tu....

basi mmeshaanza kusema hongera eti umasikini bye bye......

how low mentality you people have??????????

na akiolewa na akina Michael dell je??????????
 
Flaviana+Matata+n+Russel+Simmons.bmp

Is wandarful very much! Very big wandarful!
 
wANAWAKE used utawajua tu! Pole sana

pole zangu mie au pole zako wewe???ningependa kujua for reference purposes hao wasichana uliotembea/unaotembea nao kama sio mashankupe.........kama una guts tuwekee hapa picha zao...watu wajudge hapa..km wapya au used!..watu type zako nazijua saana...mashauzi tu
 
yap mkuu,si unajua "one man's trash is another man's treasure".

Mzee Wenger, binafsi nakubali kweli beauty is in the eyes of beer-holder..lol

BTW, nilisikiaga Russell alikuwa akijivinjari na x- wa kiungomkabaji Makelele sijui iliishiaga vipi..lol
 
Back
Top Bottom