Russell Simons is DATING Flaviana Matata?

hahahaa i was wondering why is it takinf you so long to comment!!!

shem...muzeee ya maceleb!!! huyo sio babu wala nini, si mashine bado iko sawa sasa uzee unakujaje bana!!!
aah mashine itakua haitwangi inavyotakiwa maana kadingi hako nae kana viskendo vya kuchovyachovya,najua flavy hapo ni mawenge ya vidoladola tu yanazunguka kichwani sahizi kama kweli kimapenzi sidhani kama yuko hapo.
 
[/COLOR][/SIZE]

ha ha ha wahi wakwetu seat bado hazijajaa tuchape zetu mwendo kwenda songea kuna neema kule si unajua siku hizi wanaapolo wapo juu ya mawe nchi imeuzwa

nakuja nimefika hapa Oldonyo, landirova linapakia mzigo, niwekee siti tafadhali, songea noti zinaota kama nyasi, sasa tuombe nini tena kwa mola!!

na nikizipata wa kwanza kumnunua ni Masa na aje asafishe kule kwa ng'ombe na kitimoto!!
 
Ningekuwa sina Mzenj ningesema I love you, lakini sasa nabaki kusema I like ur smile....
 
aah mashine itakua haitwangi inavyotakiwa maana kadingi hako nae kana viskendo vya kuchovyachovya,najua flavy hapo ni mawenge ya vidoladola tu yanazunguka kichwani sahizi kama kweli kimapenzi sidhani kama yuko hapo.

kwanini isitwange??? ingekuw ahivo there would have been no need kwa russel then...

hijalishi kama mzee anachokitaka anakipata kwa binti na binti naye anachotaka anapata kwa mzee.....ngoma bila bila!!!
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao

Mkuu umeamua kuiweka kando signature? - See no evil, Hear no evil, Speak no evil
Afu usisahau kuwa hakuna kisichokarabatika kikarejea mkao orijino. Ingawa wengi wetu hatukosi unyanyapaa mara tukipigwa historia ya kifaa. Ndo maana wakulu walituambia "ukitaka kumla bata (kuku?) usimchunguze sana"! :wink2:
 
Haya yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo. Cha msingi pendo liwepo tu maana kama sivyo, mbona kwa wamarekani divorce ni kitu cha kawaida tu kama kupumua vile
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
Duh hapa hatari,kwa nini mtu akifanikiwa usimfie? Yeye mwenyewe kajitafutia riziki yake mpaka kafikia hapo alipo,ni juhudi zake binafsi hata kama akiuza uchi bado ni juhudi zake binafsi,tukubali hapo alipo kawazidi wengi sana kwenye sanaa ya erembo achilia mbali kuwa na huyu Russell,kwanini wabongo tunashindwa kukubali maendeleo ya wenzetu? hasa kina dada?Auze asiuze hayo sio yetu. Alianza TK watu mliongea sana,Jay Dee bado mnamuongea mpaka sasa Hasheem mlimsifia alipoteleza kidogo badala ya kushauri mkaponda na Mungu kamunyanyua tena.Ni lini tutakubali maendeleo ya wengine?
 
hahahaaa Masa utaisoma hiyo.................'haichujuki wala kuruka'

Endeleeni kujifanya nyie ni akina Shekhe Yahya.....nani kakudanganya? Sisi wafugaji huwa tunaona K wa Ng'ombe zilizotumika sana zimechuka na kuruka....wewe unataka sema uongo siyo!
 
Back
Top Bottom