Russell Simons is DATING Flaviana Matata?

pole zangu mie au pole zako wewe???ningependa kujua for reference purposes hao wasichana uliotembea/unaotembea nao kama sio mashankupe.........kama una guts tuwekee hapa picha zao...watu wajudge hapa..km wapya au used!..watu type zako nazijua saana...mashauzi tu

Do not take me serious! relax tusogeze siku! vipi kama nikiweka picha zako lol!
 
Gossips!That was during a Charity event. Google utamuona the current girlfriend wa Russell.That will solve all the questions hapa.
 
Gossips!That was during a Charity event. Google utamuona the current girlfriend wa Russell.That will solve all the questions hapa.


View attachment 9636
Here are a few candids of hip-hop mogul Russell Simmons with his daughters Ming Lee and Aoki Lee Simmons, and his new girlfriend, model Porschla Coleman on Miami beach tuesday afternoon.It is good to see that the kids have adapted so well to their parents’ divorcing. Hii ni 2007

russelgirlfriendming.jpg


hellobeautiful.com%22]
 
Ndo maana yake! Sawa leo Masanilo nitoke na Wema Sepetu ama Irene Uyowa halafu ninyanyue bango....Akina Fidel80, Geoff, Xspin wataniona nimetokea wapi?

Usishangae ni kama nguo ya mtumba ukiivaa huku bongo unatanua lakini laiti ungekutana na Simon majuu akagundua ndio aliyoitupa atakushusha thamani.
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao

haters...!!! kama kawaida,mko kila corner...!!! kah...!!! taratibu...!!!
 
Hahah Flavi hongera ila u better be watchful coz jamaa (Russel) anatabia ya kutoka na models ww co wa kwanza wala wa mwisho list ipo kubwa tuuuu....so miezi mi3 umejitahidi...kama vp m2mie upate advantage ili akiku-damp uwe angalau ume-pata usupastaa wa mtoni...n ofcourse Russel is rich, He is big shareholder of DEFJAM records, former owner of Phatfarm.....e.t.c
 
Hahah Flavi hongera ila u better be watchful coz jamaa (Russel) anatabia ya kutoka na models ww co wa kwanza wala wa mwisho list ipo kubwa tuuuu....so miezi mi3 umejitahidi...kama vp m2mie upate advantage ili akiku-damp uwe angalau ume-pata usupastaa wa mtoni...n ofcourse Russel is rich, He is big shareholder of DEFJAM records, former owner of Phatfarm.....e.t.c

Wachimba Dhahabu bana, utawajua tuuuu..

 
Last edited by a moderator:
kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....

nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani

kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??

big up
vilevile used haijalishi mara ngapi,ata ikiwa mara moja ni used after that,,,nyie mabikira mlioa mabikira na baada ya hapo si wote used???
na habari ndo iyo
 
big up
vilevile used haijalishi mara ngapi,ata ikiwa mara moja ni used after that,,,nyie mabikira mlioa mabikira na baada ya hapo si wote used???
na habari ndo iyo

Another gold digger!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Masanilo
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage



masanilo be a gentleman...wabongo tuache kuangushana....yaani dada yetu anapata boyfriend alafu kaka mtu unaanza kutangaza .....upuuzi wa zamani ...ooh aliwahu kuwa na mchunga ngombe...mvuvi etc...huo ni ujinga kabisa...nadhani kama ni kweli watu kama nyie hamchelewi kumtumia huyo jamaa yake emails na picha za zamani za flaviana akiwa sitimbi....but reality ni kuwa hakuna mtu ambaye hana PAST.

..tuungane mkono jamani....afteral huku ulaya mtu akimpenda mtu huwa haangalii zamani..he chose what makes him happy at the given time....ndio maana wanawake ambao bongo tungewaona kuwa ni vicheche kama CARLA BRUNI,NAOMI CAMPBELL,JENIFER LOPEZ,MADONA na wengine wengi...kila siku wana date celebrities ....wenzetu hawapendi unafiki ,and they never cheat kwenye relation unlike us...akiwa in love tu mnakuwa na relation,siku mkikubaliana mapenzi hakuna basi kila mmoja anaangalia ustaarabu....its over!!

bongo kuna mengi watu wanaona divorce ni kama laana so wanaamua kubakia kwenye ndoa au uhusiano bila ,mapenzi...huku kila mwanandoa akiendeleza ku cheat kivyake ndo maana wanandoa ndio wanaongoza kwa kupata ukimwi bongo!!..ndoa nyingi zina matatizo makubwa.......na watu wanabaki kiunafiki..

sasa hii ni changamoto kwetu tufanye nini .... ili tuache unafiki?? na pia tuache roho za korsho...mwenzako akipata usianze kumaneno !
 
Aku dada mzalie huyo pedeshee wa kimarekani ili nawe angalau udai gharama za kumlea mtoto,gharama hizo kwa mwezi mwanangu utakuwa utakuwa ukisimamisha viflat kila mwezi kwenye vilima vya jiji la MWZ
 
Mbona kama Russel anaogopa kumshika Kiuno? Atakuwa demu wake kweli! Maana utadhani anapiga picha na mama mkwe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom