Kiongozi yeyote alietokana na Rushwa basi sio rahisi kupigana au kuiondoa Rushwa katika Jamii..huo ndio ukweli ulivo sasa kua tunao viongozi eti wanasema watafanya juu chini juu waliondoe hili dudu linaloitwa RUshwa....Thubutu utawezaje kuondoa uchafu ulokufanya wewe ule kuku utaweza kuondoa uchafu huo huo alokua nao mwenzako?............
Rushwa oyeeeeeeeeeeee Kidumuuuuu CHama cha Majangiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Rushwa oyeeeeeeeeeeee Kidumuuuuu CHama cha Majangiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii