William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,661
- 2,257
Ni vita kamili huku Meatu. Baada ya kura kuhesabiwa Mwenyekiti siku ya uchaguzi mgombea wa CHADEMA Alitangàzwa mshindi.
Baada ya siku mbili Siku ya jumanne mkurugenzi mtendaji akiwa na polisi wa meatu walikuja kubandika matokeo mapya na kumtangaza aliyekuwa mgombea wa CCM. Hapo hapo Wanakijini wa kijiji cha Mwabusalu iliwabidi kupiga mbiu kuja kuwakabili. Ndipo mkurugenzi akaomba msaada wa polisi wa ziada kutoka mkoani Simiyu.
Wananchi wakapiga kambi hapo kituoni wakiwa na hasira kali huku wakitoa ahadi kuwa mwenyekiti huyo wa CCM labda wamlinde jumla wasiondoke.
Baada ya siku tatu RPC akátua kijijini hapo kuona kunanini haswa. Baada ya kushuhudia hali ya mambo alionesha wazi kuumizwa na tukio hilo ndipo akamuamuru mkurugenzi kutoa haki kwani polisi walikuwa hapo ni wengi(gari 3) na magari yana matumizi mengine.
Mdipo hapo RPC akamtangaza na kumkabidhi funguo mgombea wa CHADEMA jana Ijumaa na amani kurejea.