kuleta picha za ngono siupeleke mmu!
Wasukuma naona taratiibu wanaamka, bado wanyamwezi na wagogo, hawa bado wapo kwenye usingizi wa pono!
Ilikuwa ni hatari. Hekima ilikuwa hicho alichofanya badala ya madhara ya nguvu ya ummahuyu mgombea anayo haki ya kukata rufaa sio kazi ya polisi kutangaza matokeo ya uchaguzi.
Naona dogo hujui maana ya Kiya na Sukuma!wasukuma wanapatika sukuma, wanyantuzu wao wako kiya. hivo sio kweli kuwa wanyantuzu ni sehemu ya wasukuma.
mkuu hizi kauli zimetundikwa zikinikera sana hawa Watu wanadharau sana wasukuma.Wasukuma wapeni heshima bana mbona hivyo.Mageuzi Tanzania yameanzishwa na wasukuma wengi tofauti Na Watu wanavyodhani, mwaka 1992 Wakati vyama vingi vinaanza viongozi waanzilishi wa vyama walikuwa wasukuma na wachaga
Mwenyekiti wa Cdm-mtei
Katibu Mkuu wa Cdm-Bob Nyanga makani-msukuma
mwenyekiti wa UDP-John Mamose cheyo-msukuma
Katbu mkuu wa Udp-baba yake Lau MAsha-msukuma
Mwenyekiti wa CUF bara-James mapalala-mnyamwezi/sukuma
Katibu Mkuu CUF -misobi mageni
Leo Watu wanakuja kusema eti wasukuma wameamka.uzushi mtupu.
kule bariadi mashariki tangu 1995 ni Udp hadi kesho.Bariadi magharibi tangu 1995-2005 UDP
acheni dharau toeni salute kwa kina ngosha wale ni wanamageuzi
Hao vijana ni wahuni, sio wananchi.
Hapana kwa mbeya umekosea mwaka 1995 Mbeya mjini walishinda NCCR.Hizi kauli za kuhisi wasukuma walikuwa wamelalaa si sahihi mkuu. Nakumbuka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995, John Cheyo alishinda ubunge huko bariadi mkoani shinyanga wakati huo, wakati huohuo mkio mnayofikiri imeamka kama arusha na mbeya hawakuwa na mbunge hata mmoja wa upinzani. Na bado mpaka leo wasukuma hawa wana wabunge wengi zaidi wa upinzani kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania bara.