RPC wa Mkoa wa Simiyu aamrisha Mkurugenzi wa Meatu kumtangaza mgombea wa CHADEMA mshindi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Ni vita kamili huku Meatu. Baada ya kura kuhesabiwa Mwenyekiti siku ya uchaguzi mgombea wa CHADEMA Alitangàzwa mshindi.

Baada ya siku mbili Siku ya jumanne mkurugenzi mtendaji akiwa na polisi wa meatu walikuja kubandika matokeo mapya na kumtangaza aliyekuwa mgombea wa CCM. Hapo hapo Wanakijini wa kijiji cha Mwabusalu iliwabidi kupiga mbiu kuja kuwakabili. Ndipo mkurugenzi akaomba msaada wa polisi wa ziada kutoka mkoani Simiyu.

Wananchi wakapiga kambi hapo kituoni wakiwa na hasira kali huku wakitoa ahadi kuwa mwenyekiti huyo wa CCM labda wamlinde jumla wasiondoke.

Baada ya siku tatu RPC akátua kijijini hapo kuona kunanini haswa. Baada ya kushuhudia hali ya mambo alionesha wazi kuumizwa na tukio hilo ndipo akamuamuru mkurugenzi kutoa haki kwani polisi walikuwa hapo ni wengi(gari 3) na magari yana matumizi mengine.

Mdipo hapo RPC akamtangaza na kumkabidhi funguo mgombea wa CHADEMA jana Ijumaa na amani kurejea.
 
Ni vita kamili huku Meatu. Baada ya kura kuhesabiwa Mwenyekiti siku ya uchaguzi mgombea wa CHADEMA Alitangàzwa mshindi. Baada ya siku mbili Siku ya jumanne mkurugenzi mtendaji akiwa na polisi wa meatu walikuja kubandika matokeo mapya na kumtangaza aliyekuwa mgombea wa CCM. hapohapo Wanakijini wa kijiji cha Mwabusalu iliwabidi kupiga mbiu kuja kuwakabili. Ndipo mkurugenzi akaomba msaada wa polisi wa ziada kutoka mkoani Simiyu. Wananchi wakapiga kambi hapo kituoni wakiwa na hasira kali huku wakitoa ahadi kuwa mwenyekiti huyo wa CCM labda wamlinde jumla wasiondoke. Baada ya siku tatu RPC akátua kijijini hapo kuona kunanini haswa. Baada ya kushuhudia hali ya mambo alionesha wazi kuumizwa na tukio hilo ndipo akamuamuru mkurugenzi kutoa haki kwani polisi walikuwa hapo ni wengi(gari 3) na magari yana matumizi mengine. Mdipo hapo RPC akamtangaza na kumkabidhi funguo mgombea wa CHADEMA jana ijumaa na amani kurejea.m
watu wamepinda hawataki utani
 
Viashiria vyote vinaonesha kwamba ubabe wa ccm ndio utakaoleta machafuko hapa nchini.
 
People can make changes.
People can resist changes.

CCM inawafanya wataalamu kutoa ufahamu wao kuitetea yenyewe. Ukurugenzi wa Maendeleo katika Halmashauri au Manispaa si cheo cha kisiasa. Ghasia amewaadhibu wengine kwa makosa ya Serikali kutopeleka fedha na makosa ya CCM kuwadharau wananchi. Sasa Mkurugenzi anakwenda kutetea kibarua chake akitumia Polisi. Hongera Kamanda kwa kuepusha umwagaji damu.
 
Ni vita kamili huku Meatu. Baada ya kura kuhesabiwa Mwenyekiti siku ya uchaguzi mgombea wa CHADEMA Alitangàzwa mshindi. Baada ya siku mbili Siku ya jumanne mkurugenzi mtendaji akiwa na polisi wa meatu walikuja kubandika matokeo mapya na kumtangaza aliyekuwa mgombea wa CCM. hapohapo Wanakijini wa kijiji cha Mwabusalu iliwabidi kupiga mbiu kuja kuwakabili. Ndipo mkurugenzi akaomba msaada wa polisi wa ziada kutoka mkoani Simiyu. Wananchi wakapiga kambi hapo kituoni wakiwa na hasira kali huku wakitoa ahadi kuwa mwenyekiti huyo wa CCM labda wamlinde jumla wasiondoke. Baada ya siku tatu RPC akátua kijijini hapo kuona kunanini haswa. Baada ya kushuhudia hali ya mambo alionesha wazi kuumizwa na tukio hilo ndipo akamuamuru mkurugenzi kutoa haki kwani polisi walikuwa hapo ni wengi(gari 3) na magari yana matumizi mengine. Mdipo hapo RPC akamtangaza na kumkabidhi funguo mgombea wa CHADEMA jana ijumaa na amani kurejea.m
Ninatamani sana viongozi wa kitaifa CHADEMA watoe tamko kuonya upuuzi huu!
 
Bila kuwapeleka puta hawa ccm hawataelewa nawapongeza sana hao wananchi kwa ujasiri na uamuzi wao wakulinda na kudai haki yao ya msingi.
 
Back
Top Bottom