Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,850
- 2,732
Viashiria vyote vinaonesha kwamba ubabe wa ccm ndio utakaoleta machafuko hapa nchini.
umenena vyema mkuu
Viashiria vyote vinaonesha kwamba ubabe wa ccm ndio utakaoleta machafuko hapa nchini.
Hao vijana ni wahuni, sio wananchi.
Ni vita kamili huku Meatu. Baada ya kura kuhesabiwa Mwenyekiti siku ya uchaguzi mgombea wa CHADEMA Alitangàzwa mshindi. Baada ya siku mbili Siku ya jumanne mkurugenzi mtendaji akiwa na polisi wa meatu walikuja kubandika matokeo mapya na kumtangaza aliyekuwa mgombea wa CCM. hapohapo Wanakijini wa kijiji cha Mwabusalu iliwabidi kupiga mbiu kuja kuwakabili. Ndipo mkurugenzi akaomba msaada wa polisi wa ziada kutoka mkoani Simiyu. Wananchi wakapiga kambi hapo kituoni wakiwa na hasira kali huku wakitoa ahadi kuwa mwenyekiti huyo wa CCM labda wamlinde jumla wasiondoke. Baada ya siku tatu RPC akátua kijijini hapo kuona kunanini haswa. Baada ya kushuhudia hali ya mambo alionesha wazi kuumizwa na tukio hilo ndipo akamuamuru mkurugenzi kutoa haki kwani polisi walikuwa hapo ni wengi(gari 3) na magari yana matumizi mengine. Mdipo hapo RPC akamtangaza na kumkabidhi funguo mgombea wa CHADEMA jana ijumaa na amani kurejea.m

Hao jamaa wakiamua kitu hawarudi nyuma...... Wasukuma Nomaa. Wameamka.!
Hao vijana ni wahuni, sio wananchi.
Dhuluma kama hii wamefanya maeneo mengi ya wanyonge halafu Nape anakuja kubinua mkund hapa eti wanapendwa! Nyambadu!
..... Wasukuma Nomaa. Wameamka.!
Ndiyo Sababu watu wa mikoa YA nje na Dar wanatutizama Watu wa Dar kama wasaliti na waoga. Hii spirit ilitakiwa iwe imeasisiwa na wana Dar lakini tumetanguliza SANA matumbo yetu mbele zaidi YA harakati kama hizi. Hongera wana Simiyu
Hana muda mrefu huyo RPC atahamishiwa makao makuu kusoma magazeti