RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

Ngoja nipite kimya, maana nina hasira kweli nisije jiharibia jioni yangu.Ila iko siku kiburi cha hawa kenge kitaisha

MIA Mkuu, hii serikali ya kihuni ni bora ikafikia ukomo wake. hawana maana hata kidogo.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.
 
Katika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya machozi tu.

Source:Mahojiana ya kamanda huyo na kituo cha TV cha chanel ten wakati wa taarifa ya habari ya saa moja usiku huu.

Kata hiyo kichwa yake letea mimi nafanya uchungusi, labda domo yake imekiuka maelekeso ya akili yake. Hii ugoncwa inaitwa kitaalamu inaitwa CCM, mbaya sana. Dalili yake iko namuna hii, akili inatuma domo kusema polisi nakufa rahiya lakini domo inakaidi na kusema polsi hapana ua rahiya. Kimbisa kichwa yake hapa mara moja
 
Historia inapingana kabisa na majibu ya huyo mkubwa wa polisi. Imekuwa ni utamaduni polisi wa Tanzania wanapambana na raia kwa kutumia silaha za moto, sasa huyu polisi anataka kusema wamebadilisha huo utamaduni, lini?

Na akiwekewa video & still pictures je, atawajibika?

Kwa upande mwingine mikutano ya raia bila polisi imekuwa na amani tupu, lakini kila wakitokeza polisi vurugu na hata vifo vinatokea. Miaka ya mwisho ya uongozi wa Mahita ilijaa madoa makubwa, sikutegemea kabisa kama tungeona utawala wa polisi unaongamiza raia. How wrong I was?
 
hakika ndugu yetu ametangulia bali dhamira yake bado ipo mioyoni mwetu wapenda mabadiliko, wasaa wa kukombolewa uu karibu damu hizi hazitakuwa za bure ukombozi upo tuendelee kupambana
 
Huyu RPC asidhani watachomka kwenye hii skendo. Tena anamwaga petroli kwenye moto akidhani anazima, ole wake!
 
Katika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya machozi tu.

Source:Mahojiana ya kamanda huyo na kituo cha TV cha chanel ten wakati wa taarifa ya habari ya saa moja usiku huu.
km kawaida policy na upuuzi wao
 
mods naomba mniruhusu nitukane kidoooooogo labda ndo hasira yangu itatulia ndo nijibu hoja:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::whoo::whoo::whoo::whoo::boxing::boxing::boxing::boxing::A S angry::A S angry::A S angry::frusty::frusty:
 
Aliyefyatua risasi moyo wake unamhukumu sana sasa. Kamwe hataishi kwa amani kwa kumwaga damu.
 
Inaleta uchungu uhai wa mtu asiye na hatia kupotea kiasi kile. Sijui tunakwenda wapi Tz, ule ni uuwaji kabisa!!
 
Jeshi la polisi ni kichaka cha wahalifu na majambazi wakubwa katika nchi hii..wanatoa sababu za kitoto sana kwenye mambo muhimu
 
hapa tutegemee vituko mtuhumiwa ni jeshi la polisi na hao hao ndo wanaochunguza tukio kuna haki hapo?

Yeah man,,kumbuka tukio la Songea,walienda haohao na Chagonja akiwa kashatoa "tammko" kuna majibu gani yametolewa?na watz walivo wepesi kusahau hata waandishi wa kiuchunguzi hakuna aliyefuatilia jambo hilo tena! labda hatua zilizochukuliwa ni kumhamisha Kamuhanda na kumleta rpc Iringa
 
Serikali dhaifu inaogopa democrasia. Rushwa ni kitu kibaya, sasa ameua watu wameshuhudia atamdanganya nani. Mtu kama huyu hafai kuongoza hata ulinzi shirikishi. Na waliomtumia wametumia advantage ya uwezo wake mdogo wa kufikiri. Wamemuingiza chaka. CCM ni watu hatari sana, wanakutumia halafu wanakutosa. Shilogile ngoma hii ni ya kwako, haukwepi. Mimi binafsi nimekuchukia sana, huna utu hata kidogo.
 
Endapo ikithibitika risasi iliyomuua Kamanda Ally ilitoka katika silaha inayomilikiwa na askari nahitaji kuona uwajibikaji wa viongozi hawa tunaowaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa kama za u-RPC na wenzao.
 
Asitudanganye Bomu la machozi haiui kama anavyotaka tuamini, hawa wanadhani tungali zama za mangungo wa Msovelo.
 
Back
Top Bottom