Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
mtatumaliza lakini hamtatunyamazisha
hata kutumaliza hawataweza,sie ni kama daladala anashuka mtu wanapanda watu,anakufa mtu watu wengine wanasonga mbele
mtatumaliza lakini hamtatunyamazisha
Walaaniwe wote wanaokiunga mkono!.... Watu wote waseme ... Aamen!..........kidumu Chama Cha Mauaji...................
Sio Polisi wote, ni hawa wakuu wao ambao wanachaguliwa hovyo hovyo, au kwa ukada wao.polisi wengi ni mbwa wa ccm
polisi wengi ni mbwa wa ccm
YES! Maafande wamenunuliwa, ulitegemea ajibu nn? Akili ndogo unatawala akili....... Asante mungu cjawahi kuwaamini polisi, pathetic force
halafu chanel 10 waache unafiki watakiua kituo chao cha habari kwa undumilakuwili mbona ITV wako strong na still is a private media like for themKatika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya machozi tu.
Source:Mahojiana ya kamanda huyo na kituo cha TV cha chanel ten wakati wa taarifa ya habari ya saa moja usiku huu.
Wana JF
Nimesikiliza sauti ya RPC wa Morogoro akiongea na Times FM sasa hivi anasema polisi haijatumia risasi hata moja Morogoro na badala yake wametumia mabomu ya machozi tu na kwamba hata aliyefariki leo hawezi kusema kapigwa na risasi maana huenda amefariki kutokana na jeraha la BOMU LA MACHOZI.
Nimepigwa na Butwaa na kauli hii ya RPC.
kidumu Chama Cha Mauaji...................[/QUOTE]
Nimeipenda hii CCM= Chama Cha Mauwaji.